ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,792
- 11,295
You will never know until you know and now you knowAcheniii ureeee nyiee makengeee.....story za vijiweni hazina uwalisia.nimezaliwa chuggaa nimekulia chugaa.huo usoroo unaosema sio machali og wachuga wanao fanyaa.kumbukaa wageni wamekuwa wengii Sana chuga kuna watoto wa dar es salaam(kikosi Cha mapunga),Kuna watoto wa kitangaa,morogoro wote wamefata fursaa za utalii,so wanaliwa ndogo kutokana na Michingo Yao ya huko walio toka.tatizo nyie watoto wa 2000 mnawenge Sanaa,Arusha og tuliondoka nayo 1980's to 1990's hiyo ndo ilikuwa arusha