econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Milungi tu na ushoga huko ndiko CHADEMA ilipozaliwa
USSR
Kweli una chuki na Chadema. Hivi yule meya shoga alikuwa wa chama gani?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milungi tu na ushoga huko ndiko CHADEMA ilipozaliwa
USSR
Gomba ni Ile chewing gum tunatumia kulia mchicha wetu😜Gomba
Mchicha ule hauna kabaya ManMirungi ni hatari
Acha wogaMirungi ni hatari
Take it easy Man 👨.kwanza unatafunaje majani na miti Kama mbuzi
Wewe ni mmojawapo wa vijana hao?Hili suala sijui litakuja kuisha lini, maana noana linaongezeka kila siku.
Kwani wamekuvamia nyumbani kwako?Hii tabia inakera Sana
Bongo mna porojo sana. Siku ya kiama shetani atawakana.Hao rasta wanauza utu wao kwa Dola kadhaa tu. Kuna mmoja alienda kuliwa jicho Ughaibuni akidhan msaada.
Story ILIKUA HIVI
Jamaa alikua dereva kwenye magari ya Utalii. Wazungu wakawa wamemuelewa kutokana na kuombaomba wakamuomba mfereji maringo akajidai hataki huku ashakula Dola zao, basi wakakauka kufika ughaibuni wakashukukuru kwa kuwa mkarimu wakamuambia karibu huku rasta akaona hili zali. Jamaa wakatuma tiketi na Dola za kulipia viza. Akapanda pipa alipotua tu kule jamaa wawili (wenyeji wakampokea) wakachukua passport yake kisha wakampeleka kwenye nyumba nje ya mji. wiki 2 zote masela wanampasua kwa zamu wakikumbushia Dola zao alizokua anafurahia Chuga. Ninavyoandika jamaa karejesha mpira kwa kipa. Kidole juu!
Uoya ndo maana akakimbiaWakija Dar wanajikuta wagumu kumbe uko wanauza mikund
Vijana wa Kichagga bwana ni sawa na Wanigeria tu.....penye hela hata kufilwa atakubali ili maradi tu kapata vijisenti.Hili suala sijui litakuja kuisha lini, maana noana linaongezeka kila siku.
Vijana wa Kichagga bwana, yaani mwanamme anapoteza urijali wake kisa anataka apigwe denda na mzungu tu huku akifinywa makalio kisha anaenda kujisifia kijiweni.Hili suala sijui litakuja kuisha lini, maana noana linaongezeka kila siku.
Duuuh hii kali.Wanachomeka sime chini wwnapandisha shuka kwa muzungu
Kitaalamu huko vijana wengi washamponza Mwaikimba.Mbona hatari.Arusha marasta wengi hawana divi
Story ya kujitungia na imekaa kinafiki.Hao rasta wanauza utu wao kwa Dola kadhaa tu. Kuna mmoja alienda kuliwa jicho Ughaibuni akidhan msaada.