Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

Story ya kujitungia na imekaa kinafiki.

#MaendeleoHayanaChama
Nikwel ila hakuna kilichowahtungwa chchte na hakijatokea, hata wew tunga chchte ila ujue kilisgawah tokea , kifupi kila kt kishatokeaga , marasta kueni makin sana
 
Nyie mmezidi na kushobokea wazungu mpaka manguo wakichakaa ya wazungu unavaa eti ujanja wavivu usela mavi tu kupelekewa moto daily then mnapewa vitu kama viatu ,makoti Yale kama bodaboda
Nenda pale chin plaza uone vijana wa Arusha hawajielewi uhuni wa kithenge nilinunua nguo mmoja pale tukafahamia likaanza kuombe Hela kama jidemu
chin plaza au china plaza kariakoo.
 
Ambao wanaishi Arusha na dar...?!

Mpaka dodoma na iringa...moro.. . Kuna mashoga wa kutosha na wengine kibao wapo znz kule wanajiuza .... ..
Hii tabia nikisema pataingia udini ila kiukweli hii tabia imeletwa na watalii wa kizungu Kwa sana na hao mashoga sio wa chuga tu ni wat7 kutoka mikoa yote wanaenda kule chuga ndo Kuna soko wapo vijana kutoka tanga, Kilimanjaro, Arusha, Dodoma, mwanza na mikoa karibia yote

Ukitaka kujua wazungu ndo wameleta huu uthenge katika porno wanakitu wanaita "safari" wazungu Wana safiri kuja kusex huku africa na watu wa jinsia zote ila wanakuja kama watalii ni "sex tourism"
 
Nyie mmezidi na kushobokea wazungu mpaka manguo wakichakaa ya wazungu unavaa eti ujanja wavivu usela mavi tu kupelekewa moto daily then mnapewa vitu kama viatu ,makoti Yale kama bodaboda
Nenda pale chin plaza uone vijana wa Arusha hawajielewi uhuni wa kithenge nilinunua nguo mmoja pale tukafahamia likaanza kuombe Hela kama jidemu
Unaonekana una jazba unaongea kwa mihemko tafuna tangawizi mbichi itakusaidia

Huyo mmoja aliekuomba pesa ndio umejumuisha wajuba wote wa chuga punguza jazba jomba
 
Izi hasira sio bure pengine Kuna mjuba kakuchapia mkeo ukaamua kuja kukaa nyuma ya key board na kuanza kujambajamba ovyo Kama mbwa koko
 
Unaonekana una jazba unaongea kwa mihemko tafuna tangawizi mbichi itakusaidia

Huyo mmoja aliekuomba pesa ndio umejumuisha wajuba wote wa chuga punguza jazba jomba
Kwani huoni hapo nyie omba omba na mnaliwa kisela kwani uongo
 
Acheniii ureeee nyiee makengeee.....story za vijiweni hazina uwalisia.nimezaliwa chuggaa nimekulia chugaa.huo usoroo unaosema sio machali og wachuga wanao fanyaa.kumbukaa wageni wamekuwa wengii Sana chuga kuna watoto wa dar es salaam(kikosi Cha mapunga),Kuna watoto wa kitangaa,morogoro wote wamefata fursaa za utalii,so wanaliwa ndogo kutokana na Michingo Yao ya huko walio toka.tatizo nyie watoto wa 2000 mnawenge Sanaa,Arusha og tuliondoka nayo 1980's to 1990's hiyo ndo ilikuwa arusha

Hao machalii wa Arusha hata hapa Dsm Ndio wanaongoza kupasuliwa Yai...Rejea vijana wa Mawinguni wale machoko
 
Wanaume wa chuga mtakuja kufilimbwa siku Moja kwa ishu ndogo tu ya kuomba hela hovyo.Juzi nilikuwa nimetia maguu hapo AR sasa nikapotea kidogo njia ya kuelekea hotel ambayo nilifanya booking(mount MEru) nikakutana na chalii mmoja hivi ana muonekano as if hana njaa nikasimamisha ndinga, nikaomba anielekeze njia baada ya kunielekeza Jamaa akaanza kuniomba hela.Hivi kuelekeza njia tu unaomba na hela?

Mtakuja mfilimbwe kifala Sana nyie machalii yani mpo after money kuliko utu.[emoji3]
 
Ili swala niliambiwa na jamaa yangu nikahsi propaganda we mtu wa tatu Sasa unasema kwamba wale mabwana sio rizki ndo maana baadhi hawan watoto wala hawataki kuoa
Hao machalii wa Arusha hata hapa Dsm Ndio wanaongoza kupasuliwa Yai...Rejea vijana wa Mawinguni wale machoko
 
Nikwel ila hakuna kilichowahtungwa chchte na hakijatokea, hata wew tunga chchte ila ujue kilisgawah tokea , kifupi kila kt kishatokeaga , marasta kueni makin sana
Marasta wanabinuliwa sana
 
Back
Top Bottom