Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

Tabia ya viongozi wa CCM kuwahadaa wananchi kwq kula wali maharage ni ushamba wa kisiasa.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Watanzania wapo kwenye umasikini mkubwa. Ufisadi umekithiri alafu mnajifanya kula wali maharage
20230204_192937.jpg

image_search_1675528282391.jpg
image_search_1675528242689.jpg
 
Mnanifurahisha sana. Acha nikuambie sasa, katibu mkuu wa CCM ni mtu mkubwa sana tena sana na Jambo dogo analofanya linakuwa spotted.

Ziara anazofanya katibu mkuu ni za vijijini na vitongojini kabisa huko sehemu ambazo hakuna mahali pengine pa kula zaidi ya hizo unazoona na Kama nilivyosema ,kwa kuwa katibu mkuu wa CCM ni mtu mkubwa lolote linalofanywa naye huwa ni habari kubwa.

CCM na viongozi wa CCM sio wanafiki wa kwenda vijijini huko halafu warudi mjini kula halafu warudi tena kijijini kuendelea na ziara. Pengine hilo Jambo CHADEMA ndio wanaweza
 
Haina shida kama kuchangiana mate hakukusumbui.
Wengine ndio tumekuzwa hivyo haya mambo ya kila mtoto na sahani tunayashudia siku hizi ndio mana hata upendo kwenye familia unapungua.
 
Ahahahhaha nimependa Jinsi Andrew Change venye ameshika ka tonge kadooogo ahahah..

Afu ukimcheki vzr Comrade Chongolo msosi kama haumezeki vile ahahahah

Sisiem safi sana!
 
Back
Top Bottom