Tabia ya wadada/wanawake kutosalimia huku Duniani mjiandae kwa mrejesho

Tabia ya wadada/wanawake kutosalimia huku Duniani mjiandae kwa mrejesho

Hayo matusi niliyotukanwa na mdada jirani yangu mwenye ujauzito huku nilipo! Heee saa hii ningekuwa jela nasubiri kunyongwa.Ila nimekaa kimya nimemwachia Mungu.

Mbaya zaidi hadi mtu wake ananitangazia vita wakati wote hawaniwezi nikiamua ku deal nao.

Dada zangu kuweni waungwana hamtapungukiwa kitu
 
We dada umenichekesha.. Ok

huyo mwenye mwonekano mzuri, unamsalimia ili iweje?? Anakupa hela au
Uyo tayari akili zake zinawaza mapenzi na kutongozwa, 😀😀sa muonekano mzuri ndo unasaidia nini , uyo atakuwa sio mfanyakazi wala mfanyabiashara, kwenye biashara akibase kuangalia mionekano mizuri itakula kwake, hamjui Richard branson kama hamjui akagoogle ni billionaire wa UK ila anamuonekano matata sana
 
Siku hzi salam zao ni "mambo" hawaangalii ata umri wa mtu mbafu!
Shida wenye umri zenu tukiwapa shikamoo mnavunga ‘mnatupa mambo

Au wengine mnauliza ‘unanipa shikamoo unataka kuninyima nini?
 
Hayo matusi niliyotukanwa na mdada jirani yangu mwenye ujauzito huku nilipo! Heee saa hii ningekuwa jela nasubiri kunyongwa.Ila nimekaa kimya nimemwachia Mungu.

Mbaya zaidi hadi mtu wake ananitangazia vita wakati wote hawaniwezi nikiamua ku deal nao.

Dada zangu kuweni waungwana hamtapungukiwa kitu
Kisa nini? Alianza tu bila sababu?
 
Uyo tayari akili zake zinawaza mapenzi na kutongozwa, [emoji3][emoji3]sa muonekano mzuri ndo unasaidia nini , uyo atakuwa sio mfanyakazi wala mfanyabiashara, kwenye biashara akibase kuangalia mionekano mizuri itakula kwake, hamjui Richard branson kama hamjui akagoogle ni billionaire wa UK ila anamuonekano matata sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata siwazagi hivyo bac tu napendaga
 
Shida wenye umri zenu tukiwapa shikamoo mnavunga ‘mnatupa mambo

Au wengine mnauliza ‘unanipa shikamoo unataka kuninyima nini?
mwanaume orgnal aseme hivo??
au wale wa form 4
 
Shida inaanza KWA hao hao wataka kusalimiwa wengi wenu TABIA zenu mbaya yaani inakua kama ndio umefungua mlango wa kukutongoza[emoji849]SASA cha kufanya salam ni KWA wazazi tu hao wengine watajua wenyewe
Kwani mtu kukutongoza ndiyo kusema ana tabia mbaya? Kama hutaki si unasema?
 
1,2,3....zote umejichora namna moyo wako ulivyo.Jifunze kuwa sikuzote wema hufunika ubaya,lakini pia ubaya hufunika wema....ungemtendea wema ule ubaya aliofanya ungemfunza wema kutokana na wema wako,lakini unaporudisha baya,hajifunzi kitu zaidi kutambua kuwa kumbe nawe una roho mbaya.....Kinachotengenezwa hapo ni chuki....hujatengeneza amani.Tushirikiane kuifanya dunia ni sehemu ya amani na siyo visasi na machafuko
Kipenz,,, fasta chocolate inakuhusu Kwa mangi! Mwambie etugrul bey atalipa.
 
Kisa nini? Alianza tu bila sababu?
Ananituhumu kuwa me nina expose maisha yake na kumsemea kwa ndugu zake walio mbali huko. Kitu ambacho hakipo,na sina namba zao hata kidogo.

Ila huwa ananichukia tu longtime. Ila nimetukanwa si mchezo!
 
Ukiendekeza salamu...Kwa siku unaweza kusalimia watu 100+

Usilaximishe kusalimiwa na kila mtu... Salamu zikiwa nyingi utachoka mdomo kuitikia salamu ni kero.

Kila baada mda...shikamo, zasaizi, marahaba, vipi halizenu, niaje, Mambo, poa, inakuwaje, kamakawa, salam alaykum, bwana asifiwe, Amani ya bwana, milele amina............n.k

Salimia panapohitajika kusalimia...siyo kila mtu unamsalimia.

Hata usipo nisalimia...ukipata shida nakusaidia.

Utasalimiwa na wangapi...? Utasalimia wangapi...?
 
Back
Top Bottom