Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
"Hata usiponisalimia, ukipata shida nakusaidia". Safi kabisa!Ukiendekeza salamu...Kwa siku unaweza kusalimia watu 100+
Usilaximishe kusalimiwa na kila mtu... Salamu zikiwa nyingi utachoka mdomo kuitikia salamu ni kero.
Kila baada mda...shikamo, zasaizi, marahaba, vipi halizenu, niaje, Mambo, poa, inakuwaje, kamakawa, salam alaykum, bwana asifiwe, Amani ya bwana, milele amina............n.k
Salimia panapohitajika kusalimia...siyo kila mtu unamsalimia.
Hata usipo nisalimia...ukipata shida nakusaidia.
Utasalimiwa na wangapi...? Utasalimia wangapi...?