Tabia ya wadada/wanawake kutosalimia huku Duniani mjiandae kwa mrejesho

utashangaa hata tako hana na salamu anabania.
 
Naomba wahenga na wadau wa masuala ya jinsia na mshikamano kwenye jamii mtusaidie, hii tabia inayokuwa Kwa kasi ya wadada/ wanawake kutosalimia mzizi wake ni nini.

Binadamu Hazina yake kubwa ni utashi wa kusalimiana. Kusalimia sio kutongozwa, na haimanishi ndio unajenga masndalizi ya kutongozwa Bali ni kuishi utu na Mungu na imani za ubinadamu katika jamii.

Baadhi yetu hatunaga shobo na kiu za kipuuzi tunajali utu na ubinadamu zaidi.

Katika maisha sisi binadamu ni madaraja ya aina mbalimbali katika nyanja mbalimbali za maisha.

Weka Hazina katika safari yako ya maisha popote ulipo.

Matokeo yake.
1. Nimempa lift kisha baada ya mita 20 nimegeuza gari nikamshusha nikamwambia we huna adabu unanikumbuka et eeeh toka kwenye gari yangu. Imeisha hio.

2. Kanikuta ofisi nyeti moja Dodoma, akanichangamkia huyu jini mnaso, nikamuuliza nini shida, akaeleza nikamwambia lete bahasha ntakusaidia. Sijajisumbua dakika 10 tu nimechana bahasha na kila kitu.

3. Aliibiwa simu Iphone halafu mpelelezi wa kesi classmate wangu wa A'level baada ya kuniona nae kaja kuniomba kipereso pereso nisaidie, nikamwambia tafuta laki2 nikala Laki na mwana laki, badaye nikasepa zangu nyamisati kupeleka mchele bado jau anakoma.

Ndio narudi nshapoteza huruma na hawa viumbe. Ntasaidia wenye utu na ubinadamu basi, wengine sina huruma nao.

Ishi na watu vizuri tulio na vijipesa vya kula bata na kujimudu tuna madharau kama yote.

Sio kesi bati bati
Mkuu saidia wanaume wenzio hata ukifa leo watachimba kaburi kukusitiri....hawa akina asha ngedere achana nao wasikuumize kichwa, mwanamke huwa anajihisi yeye ndie kilakitu duniani, na ndio maana akitoka nyumbani amejipodoa na asitokee mwanaume wa kumshobokea kwa siku nzima anaweza kuchizi ( panic disoder )
 
Dah we ndo itakuwa tabia yako , sema iyo tabia mademu wengi mnayo ya kuona haki ya kusalimiwa ni yenu na sio kutoa salamu, demu anaweza kukuta sehemu na akakulia buyu anasubiri umsalimie au akakuta kundi la watu ata watano akasalimia kwa kubagua( mavyuoni) na iyo tabia imesababishwa na wanaume kuzidi shobo kwa mademu na ndo imepelekea wao kujiona wanatakiwa kusalimiwa tu na sio wao kuanza kutoa salamu, ata kwenye usafiri aswa wa mabus unaweza ukawa umetulia zako kwenye seat unasubiri safari ianze na akaingia demu kukaa seat ya pili na akakaa kimya anasubiri umpe hi kummk iyo kazi uwa sifanyi , ila tabia nyingi za mademu uwa zinajengwa na wanaume 100% demu wanaume wanavyomtreat ndo iyo tabia umkaa na kutaka kumletea kila mtu,
Kabisa mwamba ,hii tabia wanayo hawa wanawake na mabinti akina mwajuma ndala ndefu wa hapa Tz na vipilipili vyao ,heshima hamna kabisa .pimbi sana hizo
 
Uyo tayari akili zake zinawaza mapenzi na kutongozwa, [emoji3][emoji3]sa muonekano mzuri ndo unasaidia nini , uyo atakuwa sio mfanyakazi wala mfanyabiashara, kwenye biashara akibase kuangalia mionekano mizuri itakula kwake, hamjui Richard branson kama hamjui akagoogle ni billionaire wa UK ila anamuonekano matata sana
Mabinti wa Tz ni vibwengo sana hawa sluts , sasa ukute umeajiri kibwengo kama huyo halafu umemuweka kwenye biashara ,hiyo biashara lazima ife tu
 
Wanaume nyie nao muda mwingine vichwa uji
Yani nyie mkisalimiwa sana ni shida ooooh kale kadada na kenyewe kajitingozesha nn.
Msiposalimiwa oooh kale kadada kanajikuta ka mwamba miguu yenyewe imekaa kama ya kunguru.

Eeeeh bana eeh tushawachoka na mindevu yenu kama chupi za wamasai alaaaah[emoji23][emoji23]
Ulishampa masai malinda nini ? Chupi ya mmasai wewe uliionaje ?
 
Naomba wahenga na wadau wa masuala ya jinsia na mshikamano kwenye jamii mtusaidie, hii tabia inayokuwa Kwa kasi ya wadada/ wanawake kutosalimia mzizi wake ni nini.

Binadamu Hazina yake kubwa ni utashi wa kusalimiana. Kusalimia sio kutongozwa, na haimanishi ndio unajenga masndalizi ya kutongozwa Bali ni kuishi utu na Mungu na imani za ubinadamu katika jamii.

Baadhi yetu hatunaga shobo na kiu za kipuuzi tunajali utu na ubinadamu zaidi.

Katika maisha sisi binadamu ni madaraja ya aina mbalimbali katika nyanja mbalimbali za maisha.

Weka Hazina katika safari yako ya maisha popote ulipo.

Matokeo yake.
1. Nimempa lift kisha baada ya mita 20 nimegeuza gari nikamshusha nikamwambia we huna adabu unanikumbuka et eeeh toka kwenye gari yangu. Imeisha hio.

2. Kanikuta ofisi nyeti moja Dodoma, akanichangamkia huyu jini mnaso, nikamuuliza nini shida, akaeleza nikamwambia lete bahasha ntakusaidia. Sijajisumbua dakika 10 tu nimechana bahasha na kila kitu.

3. Aliibiwa simu Iphone halafu mpelelezi wa kesi classmate wangu wa A'level baada ya kuniona nae kaja kuniomba kipereso pereso nisaidie, nikamwambia tafuta laki2 nikala Laki na mwana laki, badaye nikasepa zangu nyamisati kupeleka mchele bado jau anakoma.

Ndio narudi nshapoteza huruma na hawa viumbe. Ntasaidia wenye utu na ubinadamu basi, wengine sina huruma nao.

Ishi na watu vizuri tulio na vijipesa vya kula bata na kujimudu tuna madharau kama yote.

Sio kesi bati bati
Na wewe uliyeandika haya si mtu mwema hata chembe vile vile.

Nilitegemea wewe uanze kutuonesha wema uliowafanyia hao wanawake ili liwe kama somo, lakini hakuna jema hata moja zaidi ya kudhalilisha watu kwa kuwateremsha garini na kuwatoza rushwa mbovu!

Salamu ni heshima anayostahili kupewa mtu muungwana na si mtu wa hovyo hovyo tu.

Ulitaka hao wanawake wakusalimie katika nazingira gani labda?

Jali maisha yako kijana, kutaka kupewa adabu zisizokustahili mtu muovu popote mabarabarani ni ujuha.

Unatumia muda wako wakukupatia riziki vibaya.
 
Shida inaanza KWA hao hao wataka kusalimiwa wengi wenu TABIA zenu mbaya yaani inakua kama ndio umefungua mlango wa kukutongoza[emoji849]SASA cha kufanya salam ni KWA wazazi tu hao wengine watajua wenyewe
Halafu kuringa huongeza thamani ya mwanamke waego!

Mimi nikiringiwa hunifanya nianze kutumia mbinu zangu za "medani" kuanza kumfuatilia huyo binti maringo ili nikione anachoringia.

Akikaza, ishu hiyo naifanya ligi ili tuone nani mshindi kwa kutumia njia halali na haramu.

Akiendelea kukaza, ataweza hata akanifirisi lakini ninachotaka ni ushindi kwa gharama yoyote ile, mradi nilikamate "kombe".
 
Na wewe uliyeandika haya si mtu mwema hata chembe vile vile.

Nilitegemea wewe uanze kutuonesha wema uliowafanyia hao wanawake ili liwe kama somo, lakini hakuna jema hata moja zaidi ya kudhalilisha watu kwa kuwateremsha garini na kuwatoza rushwa mbovu!

Salamu ni heshima anayostahili kupewa mtu muungwana na si mtu wa hovyo hovyo tu.

Ulitaka hao wanawake wakusalimie katika nazingira gani labda?

Jali maisha yako kijana, kutaka kupewa adabu zisizokustahili mtu muovu popote mabarabarani ni ujuha.

Unatumia muda wako wakukupatia riziki vibaya.
Take it from my position am a good man had natoa funzo hasi ujue ni exceptional believe it men. No grudge men
 
Mkuu saidia wanaume wenzio hata ukifa leo watachimba kaburi kukusitiri....hawa akina asha ngedere achana nao wasikuumize kichwa, mwanamke huwa anajihisi yeye ndie kilakitu duniani, na ndio maana akitoka nyumbani amejipodoa na asitokee mwanaume wa kumshobokea kwa siku nzima anaweza kuchizi ( panic disoder )
Kama umeniona mwamba everywhere I meet a man ever good ever thanks bro salute one love
 
Salamu haigombi.
Ukisalimiwa na usiposalimiwa unapungua au kuongezeka nini?
Una roho mbaya tu wewe w
ala usijipe visababu visivyokuwa na msingi
Thanks bro no harm no care no worry no payback
 
Wanaume nyie nao muda mwingine vichwa uji
Yani nyie mkisalimiwa sana ni shida ooooh kale kadada na kenyewe kajitingozesha nn.
Msiposalimiwa oooh kale kadada kanajikuta ka mwamba miguu yenyewe imekaa kama ya kunguru.

Eeeeh bana eeh tushawachoka na mindevu yenu kama chupi za wamasai alaaaah😂😂
Everything is relative akili kichwani
 
Back
Top Bottom