Tabia ya wadada/wanawake kutosalimia huku Duniani mjiandae kwa mrejesho

"Hata usiponisalimia, ukipata shida nakusaidia". Safi kabisa!
 
Mambo haya yabidi wafanye wanakijiji we town utake salamu utamkia wangapi na utaamkiwa na wangapi?
 
Wanaume nyie nao muda mwingine vichwa uji
Yani nyie mkisalimiwa sana ni shida ooooh kale kadada na kenyewe kajitingozesha nn.
Msiposalimiwa oooh kale kadada kanajikuta ka mwamba miguu yenyewe imekaa kama ya kunguru.

Eeeeh bana eeh tushawachoka na mindevu yenu kama chupi za wamasai alaaaahšŸ˜‚šŸ˜‚
 
Salamu haigombi.
Ukisalimiwa na usiposalimiwa unapungua au kuongezeka nini?
Una roho mbaya tu wewe w
ala usijipe visababu visivyokuwa na msingi
 
Na sisi tushawachoka na mikalio yenu mibovu mibovu
 
Mwanaume akianza kushindana na Mwanamke kuna tatizo mahali![emoji276]mwisho wa siku mtaanza kugombania mabwana
Sasa wakigombani we' inakuhusu nini? Huenda we' ndiyo ukawa na shida! Jitathmini. Kwani mwanamke ni nani by the way, mpaka mtu ukim treat kama anavyoku treat ionekane unashindana naye?
 
Kwakweli sipendi kusalimia ovyo...
Na huwa nafurahi sana pale ninapokutana na mtu ambaye naye hapendi salamu salamu..
Mama anasema eti hata nivyokuwa mtoto nilikuwa nalalamika sana pale ninapoona watu ambao napaswa niwasalimie. Eti nilikuwa namuuliza na wale nao niwasalimie.... halafu namwambia jamani me nimechoka...!
Kweli huwa nawasalimia wa karibu tuu tuliozoeana baaas
Wamesema mpaka wamechoka kwamba sisalimii ila me naona sawa tu
 
Mimi sinaga huo muda wa kujipendekeza kabisa kwa hawa viumbe,ukisalimia poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…