Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Mwanamke anayevaa nguo za mapaja wazi, na huyu anavaa vizuri ila ni Malaya yupi ana afadhari? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ata ufanyeje huwezi Nikita natembea napensi lasivyo Utaambiwa una mguu wakirubhati🤣yote tunaona poa
 
Acha ushamba
 

Rudi kijijini
Babu zako walikuwa wanafunika paipu tu walikuwa hawana maadili??
 
Maadili ni nini.
 

[emoji23][emoji23][emoji23] bas upewe tuzo ya maadili na masuruali yako ayo
 
Zamani ipi mkuu Maana hata wanajeshi na Askari wetu zaman walikuwa wakivaa Pensi
 
Hujamuelewa. Kuvaa kipensi tena juu ya magoti, kimebana Makalio alafu unazunguka mtaani sio jambo jema ndio analomaanisha mleta uzi na sio kuvaa pensi nyumbani kwako mkuu.
Wameelewa, ila wanajitoa ufahamu.

Ifike Mahali tuchore mstari Ili kujua tunaanzia wapi ktk kukabiliana na uchafu ktk JAMII zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…