Binafsi,sipendi mavazi yasiyo na staha. Lakini,kama mvaaji kaamua mwenyewe,unamtafuta ubaya wa nini? Leo hii,wapo wanaokaa na kujiachia,hata chupi hawajavaa. Utalalamikia wangapi?! Wapo wanaotembea na nguo za ndani tu. Si watoto,si wakubwa.
Kama ilivyo,kila mwanamke anavyovaa au maisha anayoishi,ana limbukeni anaempenda hivyo alivyo au alivyovaa,na mwingine humuomba avae hivyo hivyo.
Na kwa wanaume au watoto wenye uume, kina anaejiona akivaa hivyo,ndo anapendeza(anaetaka atazamwe au aongelewe).
Ameona wanaovaa mlegezo na nguo za dada zao hawana shida,ila pensi tuuu.
Mi nahisi hapa tatizo kubwa ni kuingilia uhuru wa watu au kuchunguza maisha yasiyomhusu.