adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,152
- 4,843
Mkuu kuna wanaume siku hizi wana shape..chunguza vizuri.Vipi Wamasai wanaojitanda shuka mbili lakini tako bado liko wazi; na anakatisha mtaani tu bila wasiwasi?
Mimi navaa kaptula nzuri za kishua nafunga na mkanda. Na huwa nasifiwa na akina mama kuwa napendeza sana pamoja na uzee wangu wa miaka 77.
Fanya ukipendacho ali mradi huvunji sheria vinginevyo ukitaka kumfurahisha kila mtu utapata tabu sana nyandone 😁
Kuna wenzetu vinawabana hata ukiwa na Mama watoto anauliza yule ni Mbaba au mbona ana tako hivyo na hicho kipensi kilivyombana sasa.
Kuna shida pahalaa.