Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Jamii za kitanzania
Hahaha wapi yameandikwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamii za kitanzania
Hayo utajua mwenyewe.Mm navaa kanzu hadi kitandani ninapolala kuna ubaya wowote??
Like me, inabidi tuzoeee tuu.Nimeshangaa sana mkuu, binafsi nikiwa home na mazingira yanayofaa ni mwendo wa pensi
Mambo yalianza kuharibika enzi za Mzee wa Ruksa.
Relax,,,komaa na maisha yako na wanao kuhusu...utapata taabu sana..Hayo utajua mwenyewe.
Muhimu, wanaume turudi kwenye mstari wa maadili!!
Bora kuwa mshamba kuliko ujanja unaopelekea TABIA mbaya ya kuchukiza.Usitupangie maisha we jamaa na ushamba wako
Jamani ephenHAjakataza kuvaa pensi ila kasema juu ya magoti!!!!!!!!!
Ili mjitofautishe na Mashoga.View attachment 2884786
Salaam,Shalom!!
Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,
Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.
TABIA za ukosefu wa Maadili huanza Polepole, baba mzazi au kaka mwenye dada zako unapozurura na pens juu ya magoti, utapata wapi ujasiri wa kumwambia dadako au mwanao ajisitiri Kwa mavazi ya Heshima?
Acheni TABIA hizi mara Moja Ili mjitofautishe na Mashoga.
NB: Wanawake piteni kimya, maana hiki ni kikao Cha kiumeni , tunarekebishana.
Ni hayo tu!!
Mimi ni public figure.Relax,,,komaa na maisha yako na wanao kuhusu...utapata taabu sana..
Uache kuvaa vipensi mapaja yote wazi!Jamani ephen
Kama sio kuwapangia watu kwann awaseme? Yeye si avae suruali zake, kuna MTU kamsema?? Au kajiskia vibaya ?? Mbona hawasemwi kuwa wanavaa suruali ndefuUjapangiwaa wqcha ujinag
Nimecheka sana, dress code imenichekesha sana.🤣🤣HAjakataza kuvaa pensi ila kasema juu ya magoti!!!!!!!!!
Ili mjitofautishe na Mashoga.View attachment 2884786
Wanaume hawatopuuza.Ujumbe kutoka madrasa,upuuzwe.
Basi na suruali tuache maana nayo tumeiga. Turudi zetu kwenye vibwaya. Sijui utasemaje ukiona watu wameziba tupu tu kwingine kote kuko wazi?Salaam,Shalom!!
Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,
Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.
TABIA za ukosefu wa Maadili huanza Polepole, baba mzazi au kaka mwenye dada zako unapozurura na pens juu ya magoti, utapata wapi ujasiri wa kumwambia dadako au mwanao ajisitiri Kwa mavazi ya Heshima?
Acheni TABIA hizi mara Moja Ili mjitofautishe na Mashoga.
NB: Wanawake piteni kimya, maana hiki ni kikao Cha kiumeni , tunarekebishana.
Ni hayo tu!!
Weka na jina lako halisi watu wakujue.Mimi ni public figure.
Niko kazini🙏
Nadhani ujumbe uko clear,Basi na suruali tuache maana nayo tumeiga. Turudi zetu kwenye vibwaya. Sijui utasemaje ukiona watu wameziba tupu tu kwingine kote kuko wazi?
SHERIA haziruhusu.🙏Weka na jina lako halisi watu wakujue.
Otherwise utaonekana wale wale akina Lucas Mwashamba..
Hii tabia imeanza baada ya wale washinda vijiweni kuanza kwenda Jim kwaajili ya kutanua misuli ndio ujinga ulipoanzia wanajifanya wanaonyesha 6mbavu za mbwaSalaam,Shalom!!