Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

Salaam,Shalom!!

Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake,

Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana.

TABIA za ukosefu wa Maadili huanza Polepole, baba mzazi au kaka mwenye dada zako unapozurura na pens juu ya magoti, utapata wapi ujasiri wa kumwambia dadako au mwanao ajisitiri Kwa mavazi ya Heshima?

Acheni TABIA hizi mara Moja Ili mjitofautishe na Mashoga.

NB: Wanawake piteni kimya, maana hiki ni kikao Cha kiumeni , tunarekebishana.

Ni hayo tu!!
Wakati wa awamu ya kwanza,Mwalimu Nyerere,hakuwachekea wanaofanya upumbavu huo na unao fanana na huo.
 
Hizo pens za Heshima unazoziongelea hazipo madukani nowadays!!

Saiz vipo vikaptula vinavyobana maungo ya uzazi ,juu ya magoti, mapaja nje.

Na jinsi wanavyopenda chips, mapaja yanametameta.

Bahati yetu Sina mamlaka,

Mngekoma!!
Sasa hapa ndio umeonyesha ushamba wako. Pensi za heshima zipo kibao na ndio hizi tunatamba nazo mtaani
 
Wakati wa awamu ya kwanza,ukivyaa kinyume na madili,utajui hujui.Mwalimu Nyerere ilikuwa hataki upumbavu mbavu na kucheka na wapumbavu.Ilikuwa ukivaa suruali ya kubana,inaingizwa chupa ya bia,kama haikupita,utajua kama hujui.Nakumbuka wanawake wa kihindi wa dini ya Hindu,walikuwa wakivyaa nguo zao,wanaacha kiuno na mgongo wazi,aliwapiga marufuku kuvaa hivyo,na wakabadilika,japo walisema ni dini yao ndio inaruhusu.

Ok lete reference fasta, picha, video, links etc, otherwise ni imani yako tu na utunzi najua kila mbongo msanii siku hizi!
 
Tena vinabana ..unakuta Kaka ana kitako flan hivi😀😀😀 kaweka ba Wallet kama Jeneza.😀😀😀
Wanaume si kila Mbaba anatakiwa kuvaa Pensi...tunatiana aibu huku mitaani.
Siku hizi haya mavyakula kuna wanaume wamenza kuwa na vitako vitako vya ajabu ajabu sana aisee.
Ongeza na hizi Gym wanaenda waelekezaji badala ya kutoa mazoezi ya kiume,unakuta Mbaba anaendesha baiskeli ile kabinuka kiuno juu..what the hell uje uvaa na kipensi.
Hahahaha, daaah
 
Wakati wa awamu ya kwanza,Mwalimu Nyerere,hakuwachekea wanaofanya upumbavu huo na unao fanana na huo.

Msimsigizie mzee watu mwacheni apumzike zake tu, we vaa unavyotaka waachie wengine pia wajiachie watakavyo hayakuhusu! Vaa kanzu, gauni, chupi, gunia kivyako tu acha watu wafanye maisha yao kule mzee, usijipe stress na maisha ya watu wengine!
 
Duh. Sema makalio. Viungo vipi. Sema tu nina vistiki,ningekuwa na miguu ya kueleweka, ningevaa
nafikiri umeelewa ninachomaanisha acha ufukunyuku nitaje hayo maungo
nb
bora ulivyopewa hizo spoko maana ungeongeza idadi ya wavaa vipensi
 
Back
Top Bottom