Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

Hahaha.......ila inaonesha mnapenda hayo matusi, nimemsikia ndugu mjumbe Bwana mzabzab anasema akikutana na hao wenye matusi

Hata kama alikuwa na mpango wa kuhonga 20,000 basi hujitutumua hadi kumwonga elfu 30 cash 😜
Hakuna raha kutukanwa tena Kwa kiingereza wakati wa sex πŸ˜…πŸ€£
 
Punguza utoto, mpo faragha halafu bado unaleta usiri? Yaani tayari mpo uchi wewe unataka kutumia public language.
Chumbani kuna lugha na maneno yake mazuri hutumika kule. Ni kukosa staha, ni uendawazimu na pia ni matusi kutumia hadharani maneno na lugha ya chumbani.
Ni uchizi, utoto na uhayawani kujifanya mna staha, au kutumia public words muwapo chumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…