Nini maana ya neno effeminate? nenda kwenye dictionary utaelewa. Maana yake ni
(with reference to a man) having characteristics and ways of behaving traditionally associated with women and regarded as inappropriate for a man.
1 WAKORINTHO 6:9 inasema, "Know ye not that the unjust
shall not
inherit the kingdom of God? Do not err: neither fornicators
nor idolaters
nor adulterers
nor effeminate nor homosexuals.
kwa hiyo ninyi mnaigiza kwenye tamthilia mko wanaume ila mnavaa midera na kupaka wanja, kuvaa sketi, ninyi kina joti na kale kakijana kanaitwa nani sijui, wewe mnyakyusa kwenye maigizo ya kina masanja na wengine wote, mnaigiza dhambi na mnafanya dhambi.
Wanaume wote mnaofanya kazi kwenye fashion shows mnavaa minguo ya kike mnalembua mimacho, mnanengua na kuishi as if ninyi ni wanawake, nje yakwamba homosexuality ni dhambi, dhambi nyingine attached to it mtakayohukumiwa nayo ni kuishi as if ninyi ni wanawake kumbe sio. Siku ya hukumu msijesena hatukuwaambia.
Mmechafua jamii, mmeharibu watoto, na mnasambaza tabia za kishoga. Mungu anawaonya.