Tabia ya Watoto wadogo kuimba na kucheza nyimbo za kijinga na wazazi wanafurahia na kuwaona wajanja

Kitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kitanzania, inanikwaza mno ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana.

Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya wanamuziki, mitindo ya kucheza mwisho wa siku itamuaribia heshima kwa watu wa ugenini, Na sio vizuri mtoto kujifunza Umalando mapema. Mnapocheka na kufurahi mnawapa kichwa watahitaji jaribu more, Naomba mzingatie hilo ndugu zangu.

Tuwakuze watoto wetu katika hekima na Maadili ya Kitanzania na sio kisanii wala ya kuiga
Mimi nasema hijabu zipigwe marufuku mashureni zime leta udini na unafiki kwenye kizazi chetu
 
Word!!! Wazazi tubadilike.
Hata style za kuvaa na kunyoa pia
 
Ukiona hivyo, jua hao Wazazi ni mazuzu na mapumbavu!
 
Mimi nasema hijabu zipigwe marufuku mashureni zime leta udini na unafiki kwenye kizazi chetu
Lakini Hata ukristo imeandikwa kwenye Wakorint 11. kuwa mwanamke anapaswa Funika Kichwa chake, Sio kama kuna tatizo Wakifunika nywele zao, kwasababu ni imani yao, Kinachotukwamisha hatusomi maandiko tujifunze
 
Back
Top Bottom