Tabia ya waumini wengi wa KKKT kuondoka kabla ya ibada kuisha, Ni ishara kanisa linahitaji mabadiliko makubwa ya uendeshaji wa ibada

🀭
 
Tofaut na jumapili huwa sinaga schedule katikati ya wiki kwenda hapo, japo seminar zipo sijawahi hudhuria!

Labda unipe ushawish bruh πŸ˜‚
Unajua maisha yako hivi!

Nakupa tafakari yangu ya siku! Huwaga Nina utaratibu wa kuwa thought au wazo la siku la kulitafakari.

Na wazo Hilo Huwa nataka siku zote liwe linanikosoa ili kuniboresha!

Sasa wazo langu la Leo ni hili ... Kila kitu unachotumia muda wako mwingi kuhusiana nacho, kinakufanya ufananane nacho

"Whatever you spend a lot of time with makes you become like it."

Muda wako mwingi unatumia kusoma, kuangalia Nini? Utakuwa Hiko!

Ukipata nafasi ya kuhudhuria semina katikati ya wiki ... Hiyo nafasi ukiwa nayo ... Fanya!

Inakufanya uwe mwepesi kunyaka vitu vya Rohoni na kumsikia na kumuelewa Mungu kwa wepesi sana!

Sio kama Mungu hasemi na sisi, ila nafsi zetu na mioyo yetu imejaa karokoro mengi yenye sauti kubwa sana kuliko Neno la Mungu ndani yetu

Kwa sababu tu hatuna au hatujampa Kipaumbele na muda wa kutosha Katika maisha yetu
 
Nimekuelewa bruh unasali Roman?

Mimi katikati ya wiki nakuwa around posta hv ko muda mwingi nakuwa pale st Joseph Ibada ya jioni hasa jumatano nasali Misa na wanafunz wa IFM, alhamis naingia Ibada ya jioni na kumuabudu Yesu
 
Ibada ya Kilutheri ni masaa mawili na nusu.
Wachungaji wengi hawazingatii time management ndio maana utakuta tangazo linarudiwa mara 5...kwaya zinaimba mara tatu tatu
Kwa utaratibu huo yule anayeondoka baada ya masaa mawili na nusu hatendi dhambi yoyote, badala yake yule anayezidisha muda ndiye anachuma dhambi, dhambi nzito.
 
Nimekuelewa bruh unasali Roman?

Mimi katikati ya wiki nakuwa around posta hv ko muda mwingi nakuwa pale st Joseph Ibada ya jioni hasa jumatano nasali Misa na wanafunz wa IFM, alhamis naingia Ibada ya jioni na kumuabudu Yesu
Hapana sisali Roman! ... Mimi nipo nipo tu πŸ˜‚

Ndo maana nakwambia, siku Mungu Kuna Jambo akinitendea ... Nitakuwa nimevuka pa mkubwa sana!

Nakujaga sana hapo st Joseph Kwenye adorate chappel sijui kama nimeitaja Kwa usahihi!

Kile kichumba Cha maombi kule ambacho kimeandika Tafadhali usilale hapa madhabahuni

Kwenye vibenchi πŸ˜‚ ... Napapenda sana, nikiwa na mzigo Huwa nakuja hapo ... Namlilia Mungu pasipo aibu!

Afu pia Huwa naenda kwenye duka kule kupata Ile wine ya Lita moja
 
Ibada ndefu halafu mtoke nje ya kanisa kwa mstari muanze kupeana mikono. Baada ya hapo vinaletwa vitu, ndizi, maparachichi inafanyika mnada. Loh inachosha kwa kweli
 
Mm nilijua tu kwa Wakristo wa Kipentekoste uchelewaji wa kumaliza ibada kumbe na huko pia upo?

Mm nawashangaa watumishi wenye kufundisha kuhusu tunda la Roho kwenye Galatia 5:22 miongoni mwa matokeo ya tunda la Roho ni Kiasi, (self control) Je Hawa wachungaji na baraza la wazee hawana tunda la Roho? Kama wanalo wanakosaje kuwa na kiasi?
Kama wana kiasi ndani yao wanashindwaje ku control muda?
 
Ku
mbe tunapishana na husemi πŸ˜‚πŸ˜‚..... Jf inatufanya tusijuane


Basi kesho tukijaaliwa ninaweza kuwa hapo cathedral
 
Roman Misa ni lisaa mpka nusu au mawili haizidi hapo!! Labda kuwe n ugeni lkn masaa manne aseeh paroko atajikuta mwenyw
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bolotoba saa hz haelewi braza chogo kamvuruga

Amini hakika ukimuita Mungu anaitika!

Maana

Isaya anasema mtafuteni bwana maadam anapatikana
By the way siku tukipanga kuonana hapo, unikumbushe nikuletee copy ya Kitabu changu!

Si unajua Nina sahau sahau siku hizi πŸ˜‚

Mtajuana wenyewe na brother chongo wenu!

Daudi anasema "Bwana uliposema niutafute uso wako, Mimi nilisema Uso wako nitautafuta"
 
Aaaah sawa sawa brother........ Naamini iko hivyo
 

Martin aliondoka na upako wake. Alitengeneza kanisa, baadaye likawa ni dini. Dini huchosha. Huchosha kwa sababu ni akili, sio Roho. Mwili huua, roho huhuisha.
 

KKKT kimara korogwe kwa mchungaji Matsai.

kila jumapili Ibada inaanza saa moja asubuhi inaisha saa nane mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…