Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

Niite mshamba au jina lolote lkn siwezi kukubali mwanangu aolewe na mkuria , muha au msukuma. These three tribes are very primitive.
Hata awe kakulia Masaki, msukuma Ni msukuma tu.
primitive ni wewe maana unachofikiria mbuzi kama wewe ndio maana watu wameleta hii topic, God help us atuepushie wajinga kama nyie, hatutaki another tribalist wa kutuletee matatizo Tanzania
 
Pathetic. Umeingia jf Jana umeanza matusi utadhani una ukoo na Kasesera.
Ima fa ima. Narudia tena Mkuria, msukuma na muha hatuoleani.
 
Japo nimebahatika kupata wa kabila langu ila sitopenda Sana mwanangu aoe mchaga au mtutsi
 
iyo ilisha wai nikuta musoma nilizaa na mdada wa kikulya tukapanga kwenda kujitambulisha kufika kwao wamenikataa kisa mm mfupi binti alizimika mazima wakampa kitisho ukilazimisha litakalo kukuta usije uka2tambua kama sisi wazazi wako binti alichukua maamuzi magumu sana
Pole Mr.Andunje a.k.a Joti[emoji3] hao ilibidi uwashtaki huo ni unyanyapaa
 
ila muda mwingine huwa familia inaona mbali!
 
Ulipo agiza unachokunywa, kama kuna kabila lenye mapungufu kutoka kwenye tabia adi emotions basi hawa watu. Yani mtu na baba yake wamenichezea karata kali sana, walinifanya shamba la bibi fukn kweli!!

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Nikupe siri ya hawa wanaojiita wachaga mkuu hawajawai kuachana na ma X hasa wa utotoni wachaga wenzao muda wowote yanapasha kiporo kama umeoa mchaga ww jua akienda mwez wa 12 hata ukienda nae huko kaskazin anavuliwa
 
Hahahahaha!!! Ili ni la kweli kabsa sababu kuna vitimbi flan vilitokea kuanzia new year nikahisi kuna watu wanapasha kiporo vzuri tu.. Sema kwa uzuri tu wamebarikiwa sana alafu inakuwaje single maza alafu bado unaringa?

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Napinga kuchaguliwa mke .......ila DEMU AKIWA MCHAGA ALAFU NDUGU WAKIMKATAA NITAWASIKILIZA TU ......
Mi maza alimkataa kabzsa day one sema nikaona anazeeka vbaya mixture kutaka kumfata amtukane, kimya kimya nikabidi nianze mfatilia bmkubwz labda kaanza kula ugoro kumbe she was damn right hamna mwanamke pale, if only i would listen. Conclusion wazazi wanaona mengi sana tuheshimu mawazo yao

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Mi maza alimkataa kabzsa day one sema nikaona anazeeka vbaya mixture kutaka kumfata amtukane, kimya kimya nikabidi nianze mfatilia bmkubwz labda kaanza kula ugoro kumbe she was damn right hamna mwanamke pale, if only i would listen. Conclusion wazazi wanaona mengi sana tuheshimu mawazo yao

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Shure mkuu lazima ufanye uchunguz
 
😂😂😂 Ilaa kwani wagogo huwa wana nini? Mbona kama huwa wanadharaulika flani hivi....
Ukiwa huna pesa unadharaulika tu haijalishi kabila gani, mbona Kina Ben pol, Lemutuz, Waziri wa mambo ya ndani, waziri wa katiba na wako wengi tu heshima juu. Ukiwa na pesa hata kabila yako huulizwi.
 
Hahahahaha!!! Ili ni la kweli kabsa sababu kuna vitimbi flan vilitokea kuanzia new year nikahisi kuna watu wanapasha kiporo vzuri tu.. Sema kwa uzuri tu wamebarikiwa sana alafu inakuwaje single maza alafu bado unaringa?

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Kwa uzuri wa sura tukiachana meno akina Rose, Queen,merry ni wazuri sana sema tena wowowo hakuna kabisa
 
Naomba kujua nyie ni kabila gani mtoa mafa karibu kwa majibu tafadhali
 
Back
Top Bottom