Mkuu cha msingi huvunji sheria wala kusemea unafki wenzako sioni shida.
Mfano kwenda kumsalimia boss wako kuna shida gani?
Kwanza hapa kila mtu anasema hajipendekezi ni waongo🤣🤣🤣
mkuu huwezi ishi mjini bila kujipendekeza ikiwa unajua kabisa huna wa kushika mkono.kujiendekeza ni nguzo muhimu tena kwa malengoHeri yko umekua mkweli!!?
Huwa napenda sana staili ya mzee wa msoga [emoji2]
Yaani" watumie ukipata ulichotaka wapotezee"
Ndivyo nilivyo yaani mahali nikiwepo huwa nawafanya wote wawe washikaji zangu siku nikisepa siangalii nyuma .[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
hii tabia ni nzuri bt inagharama kubwa sana katika jamii, yaani watu watakuona wa ajabu utadhani kuna kitu unapunguza maishani mwao.Mimi tabia yangu ya Kutopenda Unafiki, Ujinga, Utoto, Upuuzi, Upumbavu, Kujikomba na Kuongopa imenifanya nichukiwe sana kuliko hata Shetani.
Umenifurahisha!! Kuna boss wangu wa kike anapenda sana kusifiwa sasa mimi nilikuwa sijausoma mchezo, siku moja alikuwa kapendeza kweli kweli basi nikamsifia Boss umependeza!!akasema "na wewe Leo umenisifia?akashangaa kweli" basi kutoka siku hiyo nikaanza kufuatilia watu wanavyomsifia, I came to realize kuwa kujipendekeza ni kipaji maana anaweza kuvaa hovyo ila sifa anazozipata utashangaaWanakupa changamoto uwe mjasiliamali na wewe uajiri watu wajipendekeze kwako.
Yani bosi hata ukivaa vibaya mdela haueleweki utasikia unasifiwa tu.
Utasikia "Bosi hii ya leo umeitoa wapi, Dubai au Paris".
Wakati wewe unaona kabisa hapa hamna kitu mtu anajikomba tu.
Swala la mabosi kupenda umbea Lina vi element vya udini Ndani yake.
Kuna watu wa dini fulani kutwa wao Ni majungu, fitina na umbea
Endelea na msimamo wako,lkn inabidi uwe na juhudi sana ktk maisha ili kujimudu vinginevyo kuna siku vyuma vikikaza utajifunza kuwa mnyenyekevu.Sijui kujipendekeza na sipendi mtu ajipendekeze kwangu ni tabia za kinafiki sana hazifai
Waongo sana hao.Usiwafuate.Kila mtu hapa kasema kujipendekeza hawezi now nani anaweza? Ila jf bwana
Kuwa mnyenyekevu kunalipa sana duniani na mbinguni.Wasanii wa ccm wanakazi asee full kujipendekeza. Hafu rais anasifiwa kinafki anafurahi kanakwamba anapendwa kumbe wanajipendekeza wamrambe pesa.
Nina Law moja maishani mwangu na ninaishika ipasavyo.
With Or without You...I shine.
Love me or Leave me...You can't take away my Destiny.
Kujipendekeza ni kubaya, waza umejipekeza kiasi cha bosi kukuomba ngono. Unaweza ukawa na ujasiri wa kumkatalia?Pole sana kuna sehemu unatakiwa uishi kulingana na mazingira.
Kama natakiwa nijipendekeze ili mambo yangu yaende najipendekeza vizuri tu, cha msingi sivunji sheria za kazi.
Swala la mabosi kupenda umbea Lina vi element vya udini Ndani yake.
Kuna watu wa dini fulani kutwa wao Ni majungu, fitina na umbea
Mimi tabia yangu ya Kutopenda Unafiki, Ujinga, Utoto, Upuuzi, Upumbavu, Kujikomba na Kuongopa imenifanya nichukiwe sana kuliko hata Shetani.
hii dini ni kweli ni ndugu zetu ila kwa kuchongeana wako vyema, anzia ngazi za familia,ukoo hadi majirani ni uongo uongo tu hadi wanaume sijui wana tatizo gani hawa jamaa.Swala la mabosi kupenda umbea Lina vi element vya udini Ndani yake.
Kuna watu wa dini fulani kutwa wao Ni majungu, fitina na umbea
Kumbe tuko wengi tulioathirika na hili ?!...ila kujipendekeza na kuongea uongo /kufitinisha watu ni kipaji mkuu.
Hindus Ni mabingwa wa umbea, majungu na kujipendekezaMmh sasa na wewe umeweka chumvi,,,, dini how?????????
Kujipendekeza ni kubaya, waza umejipekeza kiasi cha bosi kukuomba ngono. Unaweza ukawa na ujasiri wa kumkatalia?
Mimi nakupenda lakini mkuu! Umenifanya nicheke sana jioni hii.