Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

Mkuu cha msingi huvunji sheria wala kusemea unafki wenzako sioni shida.

Mfano kwenda kumsalimia boss wako kuna shida gani?

Kwanza hapa kila mtu anasema hajipendekezi ni waongo🤣🤣🤣


Hahaaa sio wote bhana.
 
Huwa napenda sana staili ya mzee wa msoga [emoji2]

Yaani" watumie ukipata ulichotaka wapotezee"

Ndivyo nilivyo yaani mahali nikiwepo huwa nawafanya wote wawe washikaji zangu siku nikisepa siangalii nyuma .[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa napenda sana staili ya mzee wa msoga [emoji2]

Yaani" watumie ukipata ulichotaka wapotezee"

Ndivyo nilivyo yaani mahali nikiwepo huwa nawafanya wote wawe washikaji zangu siku nikisepa siangalii nyuma .[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo sahihi sana.
 
Wanakupa changamoto uwe mjasiliamali na wewe uajiri watu wajipendekeze kwako.

Yani bosi hata ukivaa vibaya mdela haueleweki utasikia unasifiwa tu.
Utasikia "Bosi hii ya leo umeitoa wapi, Dubai au Paris".

Wakati wewe unaona kabisa hapa hamna kitu mtu anajikomba tu.
Umenifurahisha!! Kuna boss wangu wa kike anapenda sana kusifiwa sasa mimi nilikuwa sijausoma mchezo, siku moja alikuwa kapendeza kweli kweli basi nikamsifia Boss umependeza!!akasema "na wewe Leo umenisifia?akashangaa kweli" basi kutoka siku hiyo nikaanza kufuatilia watu wanavyomsifia, I came to realize kuwa kujipendekeza ni kipaji maana anaweza kuvaa hovyo ila sifa anazozipata utashangaa
 
Itakuwa ni Baniani akikutana sehemu na Muhindu hao... ligi lazima ziwepo ili mambo yaende!
Swala la mabosi kupenda umbea Lina vi element vya udini Ndani yake.
Kuna watu wa dini fulani kutwa wao Ni majungu, fitina na umbea
 
Sijui kujipendekeza na sipendi mtu ajipendekeze kwangu ni tabia za kinafiki sana hazifai
Endelea na msimamo wako,lkn inabidi uwe na juhudi sana ktk maisha ili kujimudu vinginevyo kuna siku vyuma vikikaza utajifunza kuwa mnyenyekevu.
 
Wasanii wa ccm wanakazi asee full kujipendekeza. Hafu rais anasifiwa kinafki anafurahi kanakwamba anapendwa kumbe wanajipendekeza wamrambe pesa.

Nina Law moja maishani mwangu na ninaishika ipasavyo.
With Or without You...I shine.
Love me or Leave me...You can't take away my Destiny.
Kuwa mnyenyekevu kunalipa sana duniani na mbinguni.
 
Pole sana kuna sehemu unatakiwa uishi kulingana na mazingira.

Kama natakiwa nijipendekeze ili mambo yangu yaende najipendekeza vizuri tu, cha msingi sivunji sheria za kazi.
Kujipendekeza ni kubaya, waza umejipekeza kiasi cha bosi kukuomba ngono. Unaweza ukawa na ujasiri wa kumkatalia?
 
Swala la mabosi kupenda umbea Lina vi element vya udini Ndani yake.
Kuna watu wa dini fulani kutwa wao Ni majungu, fitina na umbea
hii dini ni kweli ni ndugu zetu ila kwa kuchongeana wako vyema, anzia ngazi za familia,ukoo hadi majirani ni uongo uongo tu hadi wanaume sijui wana tatizo gani hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom