Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

Umekosea kidogo tu,Ulitakiwa kutafuta kazi kabla ya kuacha kazi.
 
Ujanja ni kuwa Boss mwenyewe.
People works for you.
Money works for you.
 
Pole sana.
Binafsi baada ya kukumbana sana na huu ujinga Wa watu kutaka uwapetipeti na kuwalamba lamba miguu nikaamua kujiajiri..
Sasa wao ndo wananitafutaga kuniomba ajira.
 
Siku zote mtu unapaswa kuishi kwa kujiamini na kwa principle zako kitu ninachokijua ni siwezi kujipendekeza kwa mtu ofisini pride ninayo & im cool with that i always speak my mind it doesnt matter wewe ni nani kama nina facts nazi state bold & clear..nafahamu kua mtu wa aina hio inaweza kukuletea matatizo lakini inabidi ukubali na hali na jinsi ulivyo..i can never be a puppet...
 
Pole sana kuna sehemu unatakiwa uishi kulingana na mazingira.

Kama natakiwa nijipendekeze ili mambo yangu yaende najipendekeza vizuri tu, cha msingi sivunji sheria za kazi.
Katika kujipendekeza lazima utakua mnafiki na ukiwa mnafiki lazima utapika majungu...na ukipika majungu lazima uwe mlamba majivu...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ahahaha haha dah
 
Kujipendekeza issue nyie acheni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…