Tabia za Ajabu za Watoto

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna kengine kalikuja home na mama yake
Na mimi nikawa home likizo kipindi hiko nipo chuo
Sasa mi kwa kawaida sipendi mazoea na vitoto
Sikuiyo nipo sebuleni na pc kakaja nako kuangalia
Sijui ikaweje nimesahau. Kakaniambia "wewe hufanyagi kazi unakaa tu hapa kula" nilitamani nikapige sana ila kwa kuwa najua hasira zangu ningekaumiza ilibidi nikafukuze sebuleni
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Aisee Huyo alitumwaa khaaaa...
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Omba ombaa
Yani mkuu
Dogo anaweza kula mpaka akabakiza chakula ila after 5 min akiona mtu anakula naye anataka
Kuna siku nikawa nakapakulia jikoni .sufuria lipo chini natumia kijiko nikakaaekea nyama moja na mchuzi kwa kijiko sasa si kakaanza kuunguruma kanasema "weka bana nyama sasa ndio nini hiko afu hata mchuzi kidogo emu mimina sufuria:
 
Mkuu mkataze kabisa kuingia kwako katakuweka kwenye matatizo.
 
Duh!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natamani wataalamu wa malezi wapite pande hii watoe miongozo , maana kuna tabia flan za watoto naziona ni potential ila kama vile watu wanazi condemn! All in all watoto wanatakiwa kuongozwa/kuelekezwa , issue ya kumuadhibu unaweza kumtoa kwenye reli kabisa!
 
Hii ya kuomba kuomba naichukia saaaaaaana
 
Hahahaha waweza sema katumwa wallah
 
Na visauti vyao ....aomba mia eeh....
hahaha unamwambia tu usiww unaomba eh subiri mtu akupe mwenyewe usimuombe, ni tabia mbaya na walivyo atarudia tena na tena
 
 
Huyo ni mjinga analea vibaya kisa uchungu? We muache muda si mrefu utakuja kumkumbusha na hatokuwa na uwezo wa kumrekebisha tena mtoto
 
Wengine wanaomba helaa hao balaa.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji16]
 
Kuna mtoto mmoja miaka 5 alimwambia msichana wa kazi Mama ana mchumba,Mimi Nina mchumba(kuna kijana wa jirani alikuwa anamtaniq mchumbaaa mchumba)Dada wewe mbona huna au hutaki kupendwaa??
Mdada alibaki mdomo wazi(Na kumbe vile hajawai kumuona.mchumba wa Dada)
 
Mwingine mdada wa kazi alimuuzi nao wanakuwa wanachukia(eti wewe Mama Akija nitamwambia akufukuze muulize Rehema(msichana wa zamani)Mimi ndo nilimwambia afukuzwe.(Ukweli ni kwamba Mama yake hakumfukuza rehema kama kalivyosema kenyewe (Mdada aliogopaaa sana.Katoto kenyewe sasa kanakompa mikwara Dada kadogoo Mdada Bongeee.Yaani hawa watoto Sijui ni michezoo yao hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…