Tabia za Ajabu za Watoto

Ukimlea mtoto katika njia flani ndio hiyo hiyoo ataifataa...!! Kama alizoea kuwa rough chumbani kwakeee bhasi atakuwa na tabia hiyi hiyo hata akioaa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana
 
Na ukimchekea ndio anafanya zaidi
Wanaanzaga kama mchezo kukujaribu...akiona unamchekea...ety oooh yan wewe e mtoto mtunduuu...

Anaona kumbe mwapenda eeh..sasa ndo anaendelea...
 
Dooh
 
Vitu vengine n aibu kuvisema, lakini ukweli mchungu uko hivo mkuu
Ukimlea mtoto katika njia flani ndio hiyo hiyoo ataifataa...!! Kama alizoea kuwa rough chumbani kwakeee bhasi atakuwa na tabia hiyi hiyo hata akioaa...
 
huyo mama yao angejitahidi basi hata kidogo kuongea nao, i can imagine akifika mgeni atakavyoshangaa hapo karume hahaa. Mimi mama angu ni mpole hivohivo haongei sana lkn alikua anagawa vibao visivyo na idadi duh. unajikuta unafanya majukumu yako bila kuambiwa lasivyo utaskia tu anakuita kwa upole kama hujakosea kitu vile akikukamata uwiii
 
Nilipompeleka shemeji yenu nyumbani mdogo wangu binamu akasema *Dada ms mol* jinsi ulivyokuja kuanza chuo umepauka hakuna MTU aliyehisi ungeolewa mapema kiasi hiki. Alikuwa drs La 4..
Maskini dadaa wa watu aliaibikaa
 
Mdogo wangu alishawahi nifanyia hii pia. Tumefika NYUMBAni anamwambia mama eti mama otea hizi chipthi kanunua nani? Mama akazuga. Akasema Dada kesho twende tena kwa Anko. Marafiki zangu wa kiume walikua wakipita nyumbani bila kusalimia utasikia wachumba zake dada S wale wanapita.
Kuna siku tunambeleza alale huku anaangalia TV, ikaonyeshwa video ya Dr. Remmy akapiga kelele eti mama jini kwenye tivii. Hapo alikua na Kama 3 - 4 years
 
Ningempa na kifinyo kidogo
 
Sjui anaona shida gan kuwasemea, me ndio dada yao nikifika nianze kuwatengea hapa mtaweka nguo chafu hapa pangeni madaftar yan na hivi sijaenda so nina uhakika mchezo wao n huohuo kitanda kina mwezi hakitandikwi bas nawaambiaga kwa kuwachekesha kuna siku mtakuja lala na vyura na nyoka vitandani hamjui, unaansa tena darasa mkila mkimaliza hakuna aneondosha vyombo hapo unepika wewe umewatengea wakkmaliza kila mtu ananyanyuka anaenda akaokujua vitakaa hapo tunaviruka tu mpaka nikawa siongei sabahu me vinanikera nafanya, utawaambia basi sufuria ya ugali inasafishwa utaoa huu uchafu wa juu hata ukiilaza wiki haionekani kukera we bwana we abakwambia nan aoshe me sio zam yangu iache hapo hapo dada inafikia point vyombo vuote vinakua vichafu sasa wataka kupika mwiko mchafu sufuria chafu yan uanze kuosha ndio upike mama yao havimkeri mana she is cool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…