Tabia za mwanaume mwembamba

Hujawaza nyuma ya Pazia huenda kakataa sababu ya hizi fake Ids?Mana hata ningekuwa mimi ningeruka futi mia.

Binamu MzaramoTz imebidi ujikatae tu. 😅🙈🙈

Yaaani na ndio raha ya JF hii binamu yangu mie.

Ila mi najua zile nyingine unazo wee mwenyewe utalinganisha halafu utasema kama ni kweli au si kweli Nam yangu mie.

😍
 
Anaponenepa tabia zinakuwa zipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye kupenda vibonge kwangu imegoma, nyingine zote ni sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…