Tabia za mwanaume mwembamba

Duuuh, kwa nyongeza hii nakupa 'salut'T'mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaani na ndio raha ya JF hii binamu yangu mie.

Ila mi najua zile nyingine unazo wee mwenyewe utalinganisha halafu utasema kama ni kweli au si kweli Nam yangu mie.

😍
Nimecheka hivyo Binamu ulivyopigiwa simu ukajikataa. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu nakupa asilimia 95 wew ni mnajimu mzuri.
Hakuna unajimu hapo mara anasema ni wajasiri lakini pia huwa waoga. Wana upendo harafu tena wana hasira. Wanapenda kutafuta mafanikio lakini poa wanakataa tamaa. Hizi ni sifa za kila mtu. Utabiri wa nyota kama wa shkhe Yahya Nb: mimi pia ni mwembamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…