Aidanna
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 1,810
- 2,844
Yan animulike kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mungu anakuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan animulike kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mungu anakuona
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mungu anakuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh, kwa nyongeza hii nakupa 'salut'T'mkuu.frenderPH,
♧ Huwa si wachoyo wa elimu ya mafanikio kwa watu wanaowazuguka..
♧ Siyo watu wa show off.
♧ Low profile type.
♧ Hawapendi kuwa karibu na watu ambao hawako straight kwenye maswala yao.
♧ Wanapenda muonekano na kutoka na body structure yao huwa wanapendeza wakitupiamo viwalo
♧ Huwa ni wakimya kiasi hupelekea watu wengine kuwaona kama ni watu flan wanaojisikia sana..
♧ Siyo watu wenye marafiki wengi ila mkishakuwa marafiki bas huo urafiki hudumu kwa muda mrefu sana..
Sent using Samsung S6 Edge
Sawa binamu ake mie. Ila siku ingine usirudie mana ntakusemea kwa aunt. 😎Aiseee nimeshayaona binam yangu. Ngoja niyafanyie kazi my dear...!
😍
Nimecheka hivyo Binamu ulivyopigiwa simu ukajikataa. 😅😅😅😅Yaaani na ndio raha ya JF hii binamu yangu mie.
Ila mi najua zile nyingine unazo wee mwenyewe utalinganisha halafu utasema kama ni kweli au si kweli Nam yangu mie.
😍
Wewe Injinia wa Pale Ubungo manispaa umeanza tabia lini za kujiuza??
Hakuna unajimu hapo mara anasema ni wajasiri lakini pia huwa waoga. Wana upendo harafu tena wana hasira. Wanapenda kutafuta mafanikio lakini poa wanakataa tamaa. Hizi ni sifa za kila mtu. Utabiri wa nyota kama wa shkhe Yahya Nb: mimi pia ni mwembamba.Mkuu nakupa asilimia 95 wew ni mnajimu mzuri.
Tena sana; [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]muelekezee attake radhi kabsaa Coz shuhri zet znafahamka na warembo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan animulike kabisa
Sawa binamu ake mie. Ila siku ingine usirudie mana ntakusemea kwa aunt. 😎
Nimecheka hivyo Binamu ulivyopigiwa simu ukajikataa. 😅😅😅😅
Unamanisha avae kaptura au? Maana suruali ni suruali na ni ile inayofika chini kwenye visigino.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], huvaa suruali ndefu mda wote
Siyo kweli, yangu ni fupi nasukumia vizazi hivyohivyo.Nasikia wako na dick ndefu