Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Sisi kama dotto tumefurahia ushindi tumemuachia kurwa apambane leo na hali yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mizimu ilikuwakia kweliwe call corect score.
[emoji2][emoji2][emoji2] mkuu yule Sambou Jr hamna kitu mguuni anaweza kufunga kwa kichwa na kwa kiasi kikubwa ubutu wake umetubeba leo kuondoka na ushindi saafiBinafsi nimeangushwa na yule mpuuzi Sambulu nani sijui!! Amekosa goli la wazi ndani 6 bhana!! Muda huu ngekuwa najipongeza kwa pepsi baridi.
Dah!! Ila simba msimu huu mna bahati mpaka basi. Maana mpinzani wa kweli kwenye kundi lenu ni Asec Mimosa pekee, na ambaye ameshafuzu tayari![emoji2][emoji2][emoji2] mkuu yule Sambou Jr hamna kitu mguuni anaweza kufunga kwa kichwa na kwa kiasi kikubwa ubutu wake umetubeba leo kuondoka na ushindi saafi
Namuona kolo akipambana sana anatoa sare. Otherwose kilio kiko palepale wana Misso Misondo