Tabiri hapa matokeo ya mechi ya marudio kati ya Simba SC dhidi ya Wydad Casablanca

Tulia kesho uone unahusikaje😂😂
Kesho ni do or die nyingine. Wananchi hatuna namna. Tukizembea tu halafu tukafungwa au hata kutoa sare; basi matumaini ya kuendelea na mashindano yatafifia kabisa.
 
Mkifungwa sio matumaini kufifia tena ila itakuwa mwisho wa matumaini hewa
 
Utabiri umesimama
Binafsi nimeangushwa na yule mpuuzi Sambulu nani sijui!! Amekosa goli la wazi ndani 6 bhana!! Muda huu ngekuwa najipongeza kwa pepsi baridi.
 
Back
Top Bottom