Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
#Fake
Simba inashinda leo
Simba inashinda leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila unachokifanya kwenye Maisha Yako ni betting, as long as hujui hata dakika mbili zijazo nn kitatokea, hivyo Maisha yote yamejaa ubashiri mtupu sema mnakosea mnapo specify baadhi ya Mambo, waacheni vijana wabet, kama hamtaki waingie maofisini wawatoe kwa nguvu muwaachie hizo nafasiKwa hiyo kubet ni kazi? Mzima kweli wewe?
Tantalila nyingi kama vile hujui tunachokataa ni kipi.Kila unachokifanya kwenye Maisha Yako ni betting, as long as hujui hata dakika mbili zijazo nn kitatokea, hivyo Maisha yote yamejaa ubashiri mtupu sema mnakosea mnapo specify baadhi ya Mambo, waacheni vijana wabet, kama hamtaki waingie maofisini wawatoe kwa nguvu muwaachie hizo nafasi
Wapo bize na wengine wanaendesha Maisha yao kutwa kuwaimba kisa mnapo pa kujishikia huko siku mtajuta kwa kauli zenu hizo
Mpe 🦁Mbona umetoa utabiri wa kiujumla ndugu mnajimu?!!!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
10 jioniWanacheza saa ngapi hawa jamaa...?
Kwahiyo wazee wa kubeti ngoma ni chini ya magoli mawili au zaidi ya hapo ?UTABIRI WA MECHI KATI SIMBA vs WYDAD CASABLANCA TAREHE 19/12/2023
Siku ya leo jua lipo katika nyota ya Mshale na mwezi upo katika nyota ya Samaki.
HALI ZA TIMU
Simba ina nyota ya Mizani na Wydad nyota ya Ndoo, timu zote zina bahati siku hii lakini nyota ya Ndoo itakuwa super star.
HALI ZA MAKOCHA
Kocha wa Wydad ana nyota ya Kaa na msaidizi wake ana nyota ya Mbuzi.
Kocha wa Simba ni Mshale na msaidizi wake ni Mbuzi,
Siku hii, nyota ya Mbuzi na Kaa zitakuwa na usaidizi wa MWEZI, sayari ya Mercury na Venus ilhali Mshale atakuwa na usaidizi wa jua na sayari ya Mars.
HALI ZA MAKIPA
Kipa wa Simba mwenye bahati siku hii ni Ayoub Lakred mwenye nyota ya Kaa.
Makipa wa Wydad siku hii watakuwa na nguvu ya vita pasipo bahati
1. Mehdi Maftah ana nyota ya Simba
2. Youssef El Motie ana nyota ya Mshale hivyo wana uwezekano mkubwa wa kufungika.
HALI ZA WACHEZAJI
Kitimu Wydad siku hii nyota yao itang'ara zaidi ya Simba, pia muundo wa kikosi Chao umezingatia nyota 12 kulinganisha na Simba, hivyo basi mpangilio mzuri wa wachezaji kulingana na nyota zao upande wa Simba unaweza kuleta msaada.
MATOKEO YA MCHEZO
Mchezo utakuwa mgumu Sana hivyo kulazimisha sare ya kufungana na iwapo kikosi kitapangwa ndivyo sivyo basi Simba watapoteza mchezo lakini kikipangwa kufuata maelekezo ya kinyota basi mpira utakuwa sare ya kufungana au Simba kupata ushindi wa bao Moja zaidi mbele ya Wydad.
NB:
Utabiri huu umezingatia mipangilio ya sayari kwa siku hiyo na utabiri hauangalii suala la uzalendo au ushabiki.
Isingekuwa ajira serikali yako tukufu ya CCM Isinge halalisha na kuwa kama chanzo chake cha mapato ikikusanya mabilioni yanayotumika kuwalipa posho na mishahara nyinyi,Tantalila nyingi kama vile hujui tunachokataa ni kipi.
Na utasimama mkuu mpaka full timeMpaka muda huu naona utabiri wako umetimia. [emoji56]
Tawire tawire. Muhimu tu Mnyama asifanye yale makosa yake ya kiufundi ya kujisahau.Na utasimama mkuu mpaka full time
Ngoja tuoneNaona dalili zote za ushindi zinaelekea Msimbazi. Waarab wameshaloa tayari.