Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kibu Denga na Baleke sio wafungaji wale? General Phiri?Tuongee ukweli tuache kujifariji hatutoboi bado hatuna kikosi cha ushindi wafungaji hawapo bado simba..
Mo atuwekee bilion zetu 😂Sisi mashabiki tunamtaka Mgunda! 😁
Jamaa unawatia moyo sana watani leo.Wydad ya msimu huu ni tia maji tia maji. Kama waliweza kufungwa na wale jamaa wenye vitambi wa Jwanang Galaxy, hata Simba wana uwezo kabisa wa kuwafunga.
Hata Simba ni tia maji tia maji na wazee wengi...Wydad ya msimu huu ni tia maji tia maji. Kama waliweza kufungwa na wale jamaa wenye vitambi wa Jwanang Galaxy, hata Simba wana uwezo kabisa wa kuwafunga.
FT; WYDAD CASABLANCA 2, SIMBA 1Binafsi naamini Mnyama hatari wa mwituni Simba atapata ushindi mnono wa goli 2-1. Baleke na Kibu watatupia siku hiyo.
Karibuni wadau kwa utabiri wenu.
Simba hawezi kupata hata goli!!?FT; WYDAD CASABLANCA 2, SIMBA 1
NITAFUTE BAADA YA MECHI!
Mkishakula mmeshiba na hivyo viajira mlivyonavyo mnaona kila anayehangaika Mtaani au kubeti anapenda, usiwaone watu wote wazembe kisa mlango wako wa mafanikio umefunguka mapemaBetting siyo Ajira, tafuteni kazi za kufanya.
Ni kakudanganyaBetting siyo Ajira, tafuteni kazi za kufanya.
Kwa hiyo kubet ni kazi? Mzima kweli wewe?Mkishakula mmeshiba na hivyo viajira mlivyonavyo mnaona kila anayehangaika Mtaani au kubeti anapenda, usiwaone watu wote wazembe kisa mlango wako wa mafanikio umefunguka mapema
Naomba ajira mkuuBetting siyo Ajira, tafuteni kazi za kufanya.