[emoji2][emoji2][emoji2] mkuu yule Sambou Jr hamna kitu mguuni anaweza kufunga kwa kichwa na kwa kiasi kikubwa ubutu wake umetubeba leo kuondoka na ushindi saafi
[emoji2][emoji2][emoji2] mkuu yule Sambou Jr hamna kitu mguuni anaweza kufunga kwa kichwa na kwa kiasi kikubwa ubutu wake umetubeba leo kuondoka na ushindi saafi
Dah!! Ila simba msimu huu mna bahati mpaka basi. Maana mpinzani wa kweli kwenye kundi lenu ni Asec Mimosa pekee, na ambaye ameshafuzu tayari!
Kusema ukweli Wydad Casablanca ya msimu huu hamna kitu! Ukija kwa Jwaneng Galaxy, ndiyo kabisaa!! Wachezaji wake lukuki wana vitambi kama wafanyakazi wa BOT!! Yaani kiufupi na wenyewe ni chenga tu. 😁