Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
- Thread starter
-
- #21
π€0 - 0 FT
ππ½Dah! Ila Azam wana kikosi kizuri kama Yanga. Eneo la kiungo na ushambuliaji wako vizuri sana. Yule Prince Dube ni mshambuliaji hatari, na wa kumchunga muda wote. Bado kuna dogo mkamiaji Sopu!!
Aisee mchezo hautakuwa mwepesi hata kidogo kwa Wananchi. Naigopa hata kutabiri.
Azam atafunga yangaπ€π€
π€Azam 1 - Yanga 0
π€Azam atafunga yanga
Basi kitulize tuDah! Ila Azam wana kikosi kizuri kama Yanga. Eneo la kiungo na ushambuliaji wako vizuri sana. Yule Prince Dube ni mshambuliaji hatari, na wa kumchunga muda wote. Bado kuna dogo mkamiaji Sopu!!
Aisee mchezo hautakuwa mwepesi hata kidogo kwa Wananchi. Naigopa hata kutabiri.
π€Azam 2-1 Yanga
π€ngoma penalty Azam anashinda Kwa penalt
π€1-1 Ft (Penalties)
π€Azam 2
Yanga 0
π€£Basi kitulize tu
π€Yanga 3 Azam 1
π€AZAM 1 - 0 YANGA