Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

Mwaka jana nilikuwa Urambo nilifika pale dukani kwake kununua bidhaa. Alilipwa na TRA, na alikuwa ameexpand sana biashara yake ya bidhaa-duka la jumla likawa kubwa, akajenga warehouse, akawa na malori ya kusupply vijijini.

Bado alikua na misuguano na maafisa wa TRA na walikuwa na mitego mingi, though jamaa alikuwa smart sana kulipa kodi na kutumia technology. Hii expansion ya biashara za bidhaa kwa pale Urambo, ilimpa maadui wapya-WAARABU WAFANYABIASHARA YA BIDHAA pale Urambo. Hawa waarabu wamejenga monopoly attitude kiasi huwa hawataki supplier mpya sokoni tena awe na bei za chini kuliko wao.

Kwa kweli nimemumizwa na habari za kifo cha Ntunzwe. Apumzike kwa amani. Biashara zake ndio zimefika mwisho. Inaumiza sana.
 
Not possible
 
Kwa nini liunganishwe na madai yake ya TRA? Ilhali hakuna mahala ppt panahusaiana napo
 
HAIWEZEKANI UFE KWA STYLE HYO TENA UNA CHA MOTO,ANGEWAFUATA HUKO HUKO HAO WAZULAMAJI TRA WAFE NAO IKIWEZEKANA PIGAMOTO OFISI YOTE YA TRA KIGAIDI PAMOJA NAO NDANI NA IWE FUNDISHO KWA HAO MANYANGAU.PUMBAVUU KABISA.
 
Sorry

I dont believe this
 
R.i.P Classmate....😥
Hakika umeondoka kwa uchungu na maumivu makali sana...😪
Nawaza walio kudhulumu sindio wataenda kuwadhulumu na wanao like ghorofa lako pale K/Koo..??
Dahhhhh.......
Juzi kati nilikupita dukani kwako pale Urambo Tabora ulipo rejea baada ya kudhukumiwa na ukifungua kaduka kadogo, kwambaali nilikuona ukimuuzia mtoto nusu kilo ya sukari pale dukani...😭
Dahhh....
Wakati mwingine hata utajiri hauna maana kabisa kwenye nchi zinazo dhulumu haki Allah...😥
 
Waarabu nao pia wachawi?
 
Tungepata video clip yake wakati anajiua, tungethibitisha kwa asilimia mia, kuwa ni kweli amejiua. [emoji41]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…