Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Familia ya Shaban Maulid Songela, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Mimani City, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, inaendelea kumtafuta baada ya kutoweka na kutopatikana kwa zaidi ya siku 10.

Songela, ambaye ni mwalimu wa madrasa na baba wa watoto 17, hadi sasa hajulikani alipo. Familia yake imesema tayari imetoa taarifa Polisi na inaendelea na juhudi za kumtafuta, lakini hadi sasa haijafanikiwa kupata taarifa za mahali alipo.

 
My lord, I wonder. Eeeeh eeehh eeeh
13102.jpg
 
Back
Top Bottom