Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

Familia ya Shaban Maulid Songela, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Mimani City, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, inaendelea kumtafuta baada ya kutoweka na kutopatikana kwa zaidi ya siku 10.

Songela, ambaye ni mwalimu wa madrasa na baba wa watoto 17, hadi sasa hajulikani alipo. Familia yake imesema tayari imetoa taarifa Polisi na inaendelea na juhudi za kumtafuta, lakini hadi sasa haijafanikiwa kupata taarifa za mahali alipo.

Labda yuko kwa Sophia!
 
At 40 years old, watoto 17 ni lazima awe na nguvu za kumudu huihudumia hiyo familia yake mahitaji muhimu vinginevyo huo mzigo ni mzito sana.
Apatikàne ili huduma kwa jamii na familia ziendelee.
 
Familia ya Shaban Maulid Songela, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Mimani City, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, inaendelea kumtafuta baada ya kutoweka na kutopatikana kwa zaidi ya siku 10.

Songela, ambaye ni mwalimu wa madrasa na baba wa watoto 17, hadi sasa hajulikani alipo. Familia yake imesema tayari imetoa taarifa Polisi na inaendelea na juhudi za kumtafuta, lakini hadi sasa haijafanikiwa kupata taarifa za mahali alipo.

Kama ni zile ishu za Kibiti, huyo kwishinei
 
Sema katoka watoto 17 hamna hamna ata wa 3 lazima watoke kimaisha, walau bint wawili wataolewa kwenye upupu.. ustadh wa madrasa kacheza draft tusichukulie poa.
 
Hao watoto 17 ni kwa mama mmoja au? Huyo jamaa hana elimu ya uzazi wa mpango? Siku hizi watoto 2 tu inatosha
 
Back
Top Bottom