Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Siku hizi wapi huko mkuu watu wanatotoa tu watoto wa kutosha..Hao watoto 17 ni kwa mama mmoja au? Huyo jamaa hana elimu ya uzazi wa mpango? Siku hizi watoto 2 tu inatosha
Siku hizi wapi huko mkuu watu wanatotoa tu watoto wa kutosha..Hao watoto 17 ni kwa mama mmoja au? Huyo jamaa hana elimu ya uzazi wa mpango? Siku hizi watoto 2 tu inatosha
Nyie si ndio mnataka kuijaza dunia pekee yenu.Mimi mwenyewe siijui. Hivi Ina fananaje???
Kwenye hiyo mikoa ni jambo la kawaida, na lengo kuu ni kupata mabinti wengi wa kuleta ng'ombeWatoto wote hao kwakazi gani itayokupa kipato cha kuwahudumia, kama rais wa nchi ana watoto wanne TU, wewe kalaghabai mwenzangu 17
Hii ndio kazi inayomuingizia kipato au ana kazi nyingine tofauti na hio?Songela, ambaye ni mwalimu wa madrasa
Cha kushangaza unaweza kukuta kakimbia majukumu nyumbani, kwenda kujificha kwa ‘Sofia’Familia ya Shaban Maulid Songela, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Mimani City, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, inaendelea kumtafuta baada ya kutoweka na kutopatikana kwa zaidi ya siku 10.
Songela, ambaye ni mwalimu wa madrasa na baba wa watoto 17, hadi sasa hajulikani alipo. Familia yake imesema tayari imetoa taarifa Polisi na inaendelea na juhudi za kumtafuta, lakini hadi sasa haijafanikiwa kupata taarifa za mahali alipo.
Kuhudumia familia ya Watoto 17 sio jambo jepesi, tunamuombea heri auvuke salama huu mtihani.At 40 years old, watoto 17 ni lazima awe na nguvu za kumudu huihudumia hiyo familia yake mahitaji muhimu vinginevyo huo mzigo ni mzito sana.
Apatikàne ili huduma kwa jamii na familia ziendelee.
Aisee yule ustadhi ni mtu na Nusu Make 3 watoto 17 Alafu wamefululiza rika jamaa Anapeleka moto Hatari.Miaka arobaino watoyo 17 hata mimi ningekumbia
Atasingiziwaje Mkuu wakati wote anaishi nao chumba kimoja?Watoto 17? Haijui Condom kabisa huyo.
Ila hao 10 kasingiziwa😝😝
Haha mkuu wewe ni mwenyeji wa hapo taboraWanasema mbio za sakafuni.Hatuwezi jua.Unaweza kukuta bw.Shaabani Maulidi Songela ameenda kukela/kuandaa mashamba yake yaliyopo Kwihala,Lolangulu,Mabama,Isikizya,Nyambele au Ndevelwa.
Nyie si ndio mnataka kuijaza dunia pekee yenu.
Mambo bila soksi ndiyo michezo niipendayoNyie si ndio mnataka kuijaza dunia pekee yenu.
Uzurulaji tu mkuu.Haha mkuu wewe ni mwenyeji wa hapo tabora
Kumbe jamani!Ila, Sophia yupo "mbaroni" kwa utongozaji wa kispoti.