Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

Familia ya Shaban Maulid Songela, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Mimani City, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, inaendelea kumtafuta baada ya kutoweka na kutopatikana kwa zaidi ya siku 10.

Songela, ambaye ni mwalimu wa madrasa na baba wa watoto 17, hadi sasa hajulikani alipo. Familia yake imesema tayari imetoa taarifa Polisi na inaendelea na juhudi za kumtafuta, lakini hadi sasa haijafanikiwa kupata taarifa za mahali alipo.

Mkiambiwa mzae kwa mpangilio, mnasema wazungu wanataka mpungue. Ona sasa kinachowakuta.
 
Kila mtu apambane na hali yake
Zaa 18 elimu bure wewe
Elimu bure ni lugha ya siasa tu hii,watu wanapiga mayowe michango imezidi,bila 2000/-@day mtoto hajaenda shule!...uwe na watoto 17!?🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🛑🛑
 
Huko alikoenda lazima tena achakate mbususu na kuacha watoto wa kutosha.
Wale jamaa wa proud to be nyoosheni kidole juu jamaa yenu kaonesha njia.
 
Back
Top Bottom