mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
Na nyie mzibe hizo k zenu dudu isiingieNdio mbanege hizo pmb zenu sio kufyatua tu kama Vichaa😏
Na nyie mzibe hizo k zenu dudu isiingieNdio mbanege hizo pmb zenu sio kufyatua tu kama Vichaa😏
Sisi tumeumbwa hivi nyie??Na nyie mzibe hizo k zenu dudu isiingie
Ndio mjue huwezi kumiliki wanawake 300, halafu uwe na watoto wawili tu.Kukojoa kumemponza aisee
Wala sio hayo,wao wanaamini kuzaa watoto wengi ni moja ya njia ya kueneza uislamu duniani🚮.Sema katoka watoto 17 hamna hamna ata wa 3 lazima watoke kimaisha, walau bint wawili wataolewa kwenye upupu.. ustadh wa madrasa kacheza draft tusichukulie poa.
Hata sisi tumeumbwa hivi tulivyoSisi tumeumbwa hivi nyie??
Sasa amepotelea wapi na sisi tunataka atupe hilo vumbi la Kongo tupate Watoto wengi kama yeye🤣😂baba wa watoto 17
Mkuu unaenda 'kukela' bila ya kuaga mke?Wanasema mbio za sakafuni.Hatuwezi jua.Unaweza kukuta bw.Shaabani Maulidi Songela ameenda kukela/kuandaa mashamba yake yaliyopo Kwihala,Lolangulu,Mabama,Isikizya,Nyambele au Ndevelwa.