Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wanasema mbio za sakafuni.Hatuwezi jua.Unaweza kukuta bw.Shaabani Maulidi Songela ameenda kukela/kuandaa mashamba yake yaliyopo Kwihala,Lolangulu,Mabama,Isikizya,Nyambele au Ndevelwa.Miaka arobaino watoyo 17 hata mimi ningekumbia
Kwamba,hakufikiria hilo wakati anakula uroda!?Kakimbia majukumu
Yaan kuna watu sijui huwa tunawaza nini mweeKwamba,hakufikiria hilo wakati anakula uroda!?
Hapo hamna kushangaa.Ni kuingia mapori ya Magili,Itetemya hadi Nguruka asakwe na kurudishwa.My lord, I wonder. Eeeeh eeehh eeeh
View attachment 3668774
Akili hutorokea madirishani.Yaan kuna watu sijui huwa tunawaza nini mwee
🤣🤣🤣Akili hutorokea madirishani.
Alikuwa ananengua mauno tu kama wacheza ngoma za waswezi bila kujua yajayo yatakavyo mpatia furaha.
Kukojoa kumemponza aiseeAlikuwa ananengua mauno tu kama wacheza ngoma za waswezi bila kujua yajayo yatakavyo mpatia furaha.
Angejifunga hata vifungashio vya jerojero tu au angevaa vifuko vya kufungia barafu.Kukojoa kumemponza aisee
🤣🤣kwa nguvu za watu wa vijijini,kingepasuka tu aiseeAngejifunga hata vifungashio vya jerojero tu.
Wa mwidebe siyo mchezo.Ugali mgumu kwa nsansa au kansolele chukuchuku.🤣🤣kwa nguvu za watu wa vijijini,kingepasuka tu aisee