Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

Watoto wote hao kwakazi gani itayokupa kipato cha kuwahudumia, kama rais wa nchi ana watoto wanne TU, wewe kalaghabai mwenzangu 17
Kwenye hiyo mikoa ni jambo la kawaida, na lengo kuu ni kupata mabinti wengi wa kuleta ng'ombe
 
Hata kama ni mimi napotea , Watoto 17 kwa miaka 40 😂😂 Huyo kajihifadhi sehemu mwacheni kwa afya ya akili ikae
 
Cha kushangaza unaweza kukuta kakimbia majukumu nyumbani, kwenda kujificha kwa ‘Sofia’
 
At 40 years old, watoto 17 ni lazima awe na nguvu za kumudu huihudumia hiyo familia yake mahitaji muhimu vinginevyo huo mzigo ni mzito sana.
Apatikàne ili huduma kwa jamii na familia ziendelee.
Kuhudumia familia ya Watoto 17 sio jambo jepesi, tunamuombea heri auvuke salama huu mtihani.
 
Miaka arobaino watoyo 17 hata mimi ningekumbia
Aisee yule ustadhi ni mtu na Nusu Make 3 watoto 17 Alafu wamefululiza rika jamaa Anapeleka moto Hatari.

Waislam mko vizuri Aisee kwenye ibada ya Tendo mmetimiza nguzo ya Dini kabisa yaani una lala na bibi 3 unageuka uku na uko ni kupeleka moto kwa kwenda mbele 😂
 
Logic ya kuweka idadi ya watoto wake kama sehemu ya taarifa ni nini?
 
Watoto 17? Haijui Condom kabisa huyo.
Ila hao 10 kasingiziwa😝😝
Atasingiziwaje Mkuu wakati wote anaishi nao chumba kimoja?

Jamaa ni mtaaluma Usiku kucha ana pepeatu Aisee mtume aliwamilikisha pepo yao kabisa Hawa jamaa. 🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…