Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

Mkiambiwa mzae kwa mpangilio, mnasema wazungu wanataka mpungue. Ona sasa kinachowakuta.
 
Kila mtu apambane na hali yake
Zaa 18 elimu bure wewe
Elimu bure ni lugha ya siasa tu hii,watu wanapiga mayowe michango imezidi,bila 2000/-@day mtoto hajaenda shule!...uwe na watoto 17!?πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ›‘πŸ›‘
 
Huko alikoenda lazima tena achakate mbususu na kuacha watoto wa kutosha.
Wale jamaa wa proud to be nyoosheni kidole juu jamaa yenu kaonesha njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…