Tabora: Baba wa watoto 17 atoweka kwa siku 10 kusikojulikana

Sema katoka watoto 17 hamna hamna ata wa 3 lazima watoke kimaisha, walau bint wawili wataolewa kwenye upupu.. ustadh wa madrasa kacheza draft tusichukulie poa.
Wala sio hayo,wao wanaamini kuzaa watoto wengi ni moja ya njia ya kueneza uislamu duniani🚮.


Kobazi wana mtindio wa ubongo
 
Kama hajakimbia majukumu Mungu asaidie apatikane akiwa mzima.
 
Wanasema mbio za sakafuni.Hatuwezi jua.Unaweza kukuta bw.Shaabani Maulidi Songela ameenda kukela/kuandaa mashamba yake yaliyopo Kwihala,Lolangulu,Mabama,Isikizya,Nyambele au Ndevelwa.
Mkuu unaenda 'kukela' bila ya kuaga mke?

Kama ana shamba Kwihala(livingstone), asingetafutwa maana ndiyo mlimani city yenyewe hiyo inayoongelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…