Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

Wewe si Bora nikanunue bia supermarket takeaway... bia bila mattrako hainogi
Sasa Bia inahusiana nini na matraco? Mbona ladha yake iko ndani ya chupa, na sio unachosema wewe?

Wewe useme ulienda hapo kufuata matraco na sio bia, km ulifuata bia na zipo si ununue unywe na utosheke then uondoke. Shida iko wapi?
 
hapo pamepoa siku hizi sogea mbele kidogo kuna sehemu inautwa kiota hapo

ama rudi nyuma jirani na chuo cha uhaziri inaitwa terrace mkuu

ama nenda skonge road kuna chimbo pale pia
 
Sasa mkuu, mkoa wenye high number za Malaya ulinganishe na jombe, dar imejaza Malaya kutoka mikoani wa kutosha hata chocho wanakufaata
tatizo kwann wapasifie sana wkt hamna kitu au exposure ndo tatizo. mimi sikuiz nikienda mkoa wowote nakua sina expectation yoyote maana nshachoka kuwa disappointed. unakutana na mwenyeji anasema ngoja nkutembeze unasema yes leo leo kazi ukifika unakuta ushubwada mtupu.

bora Mbeya kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…