Tabora Bado sana... Nimeambiwa hii ndio Bar yenye Vibe.. Cha ajabu hatufiki 10

tanzagiza maendeleo ya mji yanapimwa kwa uwepo wa bar, wakati jamii nyingine mji unapimwa na kama kuna maeneo ya wazi ya wananchi kupumzika, ajira, miundo mbinu, shule bora na hospitali kwetu watu wanapima bar na wamemaliza hapo ...
 
Sasa Bia inahusiana nini na matraco? Mbona ladha yake iko ndani ya chupa, na sio unachosema wewe?

Wewe useme ulienda hapo kufuata matraco na sio bia, km ulifuata bia na zipo si ununue unywe na utosheke then uondoke. Shida iko wapi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Sasa Bia inahusiana nini na matraco? Mbona ladha yake iko ndani ya chupa, na sio unachosema wewe?

Wewe useme ulienda hapo kufuata matraco na sio bia, km ulifuata bia na zipo si ununue unywe na utosheke then uondoke. Shida iko wapi?
Wanawake kuna mambo hamuwezi kuelewa hivyo tunavielewa sisi tu wanaume na havielezeki..
 
Huu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili?
Hapa sio pa kulala...
Ungeomba upelekwe kiwanja kikali kama Kwa Masempele Complex au Kiko kids kule mitaa ya Ng'ambo bila kusahau Kachoma by Night au Chizi Mpumunti Grill mitaa ya mjini kati.Ungeinjoi sana.Kidding!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«ΈπŸ«·
 
Nimeshangaa wote walio-comment wanaijua hiyo bar, na kila mtu anaidadavua kwa namna anayoona inafaa. Mimi tu ndo sijui πŸ₯²
Tembea uone mkuu 😷, Tabora iko center mwa Tanzania so kama ni mtu wa safari safari ni lazima upitie huku
Tabora kuna barabara ya kwenda
1. Mwanza
2. Kigoma
3. Singida/Dodoma
4.Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…