The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
π Hamna sema ni mojawapo ya Bar maarufu ilikimbiza sana miaka ya 2018-2023 hivi ,si unajua tena kila eneo lina sehemu zake maarufu za kula bataHiyo bar nayo vipi, Kila unapopita Tabora lazima uifikie? Maana kila mwana JF huwa anaijua kasoro Mimi π
Sasa nimeelewa mkuu ππ Hamna sema ni mojawapo ya Bar maarufu ilikimbiza sana miaka ya 2018-2023 hivi ,si unajua tena kila eneo lina sehemu zake maarufu za kula bata
Wee! Kumbee??Wanawake kuna mambo hamuwezi kuelewa hivyo tunavielewa sisi tu wanaume na havielezeki..
Mzee wa Hall V Uko poa? ππππππππππππππ
Siku hizi wanachakachua hii nchi sisiemu wameiharibu kila kona πSiku hizi vikuku vyenu kama njiwa pori au ni mwewe wale?
Hatari sana. Uko poa lakiniSiku hizi wanachakachua hii nchi sisiemu wameiharibu kila kona π
Niko poa⦠unapotea sana siku hizi.Hatari sana. Uko poa lakini
Wewe hujafika Shirati, ni shangwe jumatatu hadi jumapili 7/24.Siku ya kazi unaenda kufanya nini bar
NAogopa siku hiziNiko poa⦠unapotea sana siku hizi.
Palitakiwa pale na mixer ya carbon dioxideHuu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili?
Hapa sio pa kulala...
Siyo mikoani tu hata Dar kipindi hicho Magomeni kwa Macheni nimekwenda na washkaji kufika hata pa kukaa hamna watu nyomi nikiangalia hata Pub yenyewe siioni ushuzi mtupu, tangu siku hiyo sikukanyaga tena, bora delux nilipaelewa kwa ajili ya mishikaki kwamba mkienda Delux mnakula mishikaki mnashushia na moja mnasepa zenu sehemu za maana.huko mikoani kuna vituko mkuu, kitu kinapewa sifa kama zote ila ukifika unajisemea moyoni "qmmk wallah"
Watekaji? Tushawaua we jiachie πNAogopa siku hizi
ππππWewe hujafika Shirati, ni shangwe jumatatu hadi jumapili 7/24.
Wewe siku unafanya kazi kukimbizana na mwajiri wako kuna watu wapo wanakula bata wanatumiwa miamala na waajiriwa wao
Nilijisahau kumbe niko shithoo kantreWewe hujafika Shirati, ni shangwe jumatatu hadi jumapili 7/24.
Kotekote mpenziKwani wee unaenda kufanya mambo yako yanayo kupeleka hapo au vibes na mengineyo??
Vyuma vimekaza alafu vikakaza tenaaaπHuu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili?
Hapa sio pa kulala...
Kalale makaburiniHuu mji noma.. Oxygen Lounge ndio vibe ili?
Hapa sio pa kulala...
Wee kumbe?Kotekote mpenzi