Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe

Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia zinaibuka Tena, sasa Leo kinachoonekana uwanjani ni uchafu tu!

Nadhani Yanga kwa sasa wasicheke na nyani watoe vipigo bila kuangalia sura hata magoli ya mkono refa aite kati ilimradi point 3 muhimu!

Wale wapiga domo na kelele wafunge mabakuri yao Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote!
 
Kwani Tabora ana udhamini wa GSM ipo wazi Mwigulu nchemba na GSM wanatuharibia soka!
 

Attachments

  • 20241229_070802.jpg
    100 KB · Views: 4
  • 20241225_065945.jpg
    116.7 KB · Views: 3
unajua maana ya ubaya ubwelaa?
 
Na kufungwa Utopolo na hawa Tabora Bado kuko palepale
 
Naona katika harakati za kuponya jeraha. Sawa sawa, uzi umeuandika baada ya chuma cha tatu. Hongera
 
Mbona kama umeumia sana... Mlifungwa kwa uwezo wenu mdogo nyau nyie..
 
Hawa hawa wachezaji wenye muda na photoshoot.
 
GSM kupitia mlango wa nyuma jawahidi milioni 5 ili waifunge simba,imebuma
 
Reactions: Tui
 
Huna ujualo wewe. Huoni timu ambazo hazina ufadhili wa gsm

zinavyoipa taabu yanga? Timu zote zinazofadhiliwa na gsm zinafanya kazi ya kugawa points kwa yanga, refer kauli ya kocha wenu, ligi dhaifu
 
Huna ujualo wewe. Huoni timu ambazo hazina ufadhili wa gsm


zinavyoipa taabu yanga? Timu zote zinazofadhiliwa na gsm zinafanya kazi ya kugawa points kwa yanga, refer kauli ya kocha wenu, ligi dhaifu
Ni dhaifu kweli. Litimu linafungwa mechi 4 mfululizo kuna ligi hapo?
 
Huwezi zisikia, Hawa mbumbumbu hamnazo. Ngoja mabingwa wa kihistoria washinde utasikia mayowe.
 
Gusa, achia, turudi ligi kuu. Mashindano ya Afrika tuwaachie Simba!😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…