Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine uwa wanakuwa tabora wenyewe,,
Uwezi kusikia kelele za gsm anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango,,but wakipigwa wengine utasikia zinaibuka Tena,,sasa Leo kinachoonekana uwanjani ni uchafu tu!
Nadhani yanga kwa sasa wasicheke na nyani watoe vipigo bila kuangalia sura ata magoli ya mkono refa aite kati ilimradi point 3 muhimu!
Wale wapiga domo na kelele wafunge mabakuri yao Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote!
Jitahidini kufunga magoli mengi mwingie robo fainali
 
Mtalia sana zamu hii,hutaki kuzungumzia ubora wa Simba,huwa tunajua mkifungwa na timu mnasema mmekamiwa,simba ikishinda mnasema ni fixing zamu hii ni ubaya ubwela tu
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine uwa wanakuwa tabora wenyewe,,
Uwezi kusikia kelele za gsm anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango,,but wakipigwa wengine utasikia zinaibuka Tena,,sasa Leo kinachoonekana uwanjani ni uchafu tu!
Nadhani yanga kwa sasa wasicheke na nyani watoe vipigo bila kuangalia sura ata magoli ya mkono refa aite kati ilimradi point 3 muhimu!
Wale wapiga domo na kelele wafunge mabakuri yao Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote!
Hata mimi nimeshangaa kama hii ndiyo Tabora United iliyoifunga Yanga na Azam! Wachezaji kuanzia mwanzo walikuwa kama wapo mazoezini! Waamuzi waliochezesha walionekana tangu mwanzo wamejipanga kuipa timu mwalikwa ushindi kwa namna yoyote ile!!

Kiuhalisia mchezo ulikuwa ni wa hovyo mpaka basi.
 
Mimi ninachojua Simba ni my wetu. Kama wanabisha, waseme mara ya mwisho kumfunga yanga ilikua msimu gani
 
Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine uwa wanakuwa tabora wenyewe,,
Uwezi kusikia kelele za gsm anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango,,but wakipigwa wengine utasikia zinaibuka Tena,,sasa Leo kinachoonekana uwanjani ni uchafu tu!
Nadhani yanga kwa sasa wasicheke na nyani watoe vipigo bila kuangalia sura ata magoli ya mkono refa aite kati ilimradi point 3 muhimu!
Wale wapiga domo na kelele wafunge mabakuri yao Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote!
Ubaya ubwela kalaga baho
 
IMG_5200.jpeg
 
Jitahidini kufunga magoli mengi mwingie robo fainali
Tunaweka mambo sawa kwamba tusije kusikia mnatoa tena milio ya upangaji wa matokeo inapotokea kwa wengine mpige kimya ivyo ivyo
 
Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine uwa wanakuwa tabora wenyewe,,
Uwezi kusikia kelele za gsm anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango,,but wakipigwa wengine utasikia zinaibuka Tena,,sasa Leo kinachoonekana uwanjani ni uchafu tu!
Nadhani yanga kwa sasa wasicheke na nyani watoe vipigo bila kuangalia sura ata magoli ya mkono refa aite kati ilimradi point 3 muhimu!
Wale wapiga domo na kelele wafunge mabakuri yao Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote!
Umeandika kwa sonona sana.Fumba macho uombewe dua njema. 🙏😎
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Sonona eti,,tunatunza risiti kikubwa msije mkaleta shobo Tena kwenye mechi za wengine
Msifunge kwa mikono.Acheni ball litambae.Tabora Utd 0-Simba wa kombe la akina mama wazazi 3.
Halafu sasa,Utopolo wa mwisho kombe la klabu bingwa Afrika 1-Tabora Utd 3.Daaadeeekii.Maumivu bin sonona.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine uwa wanakuwa tabora wenyewe,,
Uwezi kusikia kelele za gsm anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango,,but wakipigwa wengine utasikia zinaibuka Tena,,sasa Leo kinachoonekana uwanjani ni uchafu tu!
Nadhani yanga kwa sasa wasicheke na nyani watoe vipigo bila kuangalia sura ata magoli ya mkono refa aite kati ilimradi point 3 muhimu!
Wale wapiga domo na kelele wafunge mabakuri yao Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote!
Aisee umeandika kwa makasiriko kweli kweli, kunywa maji kwanza.
 
Msifunge kwa mikono.Acheni ball litambae.Tabora Utd 0-Simba wa kombe la akina mama wazazi 3.
Halafu sasa,Utopolo wa mwisho kombe la klabu bingwa Afrika 1-Tabora Utd 3.Daaadeeekii.Maumivu bin sonona.
Magoli yatafungwa ata kwa mkono ilimradi point tatu na refa aite kati alafu tutakutana mwisho wa msimu tuone nani bingwa,,akuna kucheka na kima,,
 
Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe

Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia zinaibuka Tena, sasa Leo kinachoonekana uwanjani ni uchafu tu!

Nadhani Yanga kwa sasa wasicheke na nyani watoe vipigo bila kuangalia sura hata magoli ya mkono refa aite kati ilimradi point 3 muhimu!

Wale wapiga domo na kelele wafunge mabakuri yao Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote!
Na Bado hamjasema...

UBAYA UBWELA
 
Back
Top Bottom