Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

Jitahidini kufunga magoli mengi mwingie robo fainali
 
Mtalia sana zamu hii,hutaki kuzungumzia ubora wa Simba,huwa tunajua mkifungwa na timu mnasema mmekamiwa,simba ikishinda mnasema ni fixing zamu hii ni ubaya ubwela tu
 
Reactions: Tui
Hata mimi nimeshangaa kama hii ndiyo Tabora United iliyoifunga Yanga na Azam! Wachezaji kuanzia mwanzo walikuwa kama wapo mazoezini! Waamuzi waliochezesha walionekana tangu mwanzo wamejipanga kuipa timu mwalikwa ushindi kwa namna yoyote ile!!

Kiuhalisia mchezo ulikuwa ni wa hovyo mpaka basi.
 
Mimi ninachojua Simba ni my wetu. Kama wanabisha, waseme mara ya mwisho kumfunga yanga ilikua msimu gani
 
Ubaya ubwela kalaga baho
 
 
Jitahidini kufunga magoli mengi mwingie robo fainali
Tunaweka mambo sawa kwamba tusije kusikia mnatoa tena milio ya upangaji wa matokeo inapotokea kwa wengine mpige kimya ivyo ivyo
 
Umeandika kwa sonona sana.Fumba macho uombewe dua njema. πŸ™πŸ˜Ž
 
Reactions: Tui
Sonona eti,,tunatunza risiti kikubwa msije mkaleta shobo Tena kwenye mechi za wengine
Msifunge kwa mikono.Acheni ball litambae.Tabora Utd 0-Simba wa kombe la akina mama wazazi 3.
Halafu sasa,Utopolo wa mwisho kombe la klabu bingwa Afrika 1-Tabora Utd 3.Daaadeeekii.Maumivu bin sonona.
 
Reactions: Tui
Aisee umeandika kwa makasiriko kweli kweli, kunywa maji kwanza.
 
Msifunge kwa mikono.Acheni ball litambae.Tabora Utd 0-Simba wa kombe la akina mama wazazi 3.
Halafu sasa,Utopolo wa mwisho kombe la klabu bingwa Afrika 1-Tabora Utd 3.Daaadeeekii.Maumivu bin sonona.
Magoli yatafungwa ata kwa mkono ilimradi point tatu na refa aite kati alafu tutakutana mwisho wa msimu tuone nani bingwa,,akuna kucheka na kima,,
 
Na Bado hamjasema...

UBAYA UBWELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…