Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

Itakua sio koboko aka black mamba nyie black mamba ngoja nicheke kwa sauti mganga hajigangi kwanini apoteze fahamu, kashindwa kujinusuru [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Halafu black mamba hapigi kichwani tu mganga kabeba story za uongo za utotoni tulikua tunadanganyana sana mambo ya kujitwika uji wa moto eti atapiga kichwani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] weeee koboko anatia jino popote na sumu yake ikiupata jichoni upofu waziwazi mambo ya story za zamani mnaleta mbinu zenu za ki old fashion mtajuta
 
Mkuu zinapatikana wapi hizo drones aisee? Bei yake ikoje?
 
Fasihi kazini.leo sizielewi nyuzi za hapa JF.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mkuu tumefungwa na fasihi ila bado narudia na kubaki na msimamo wa kuendelea kumtafsiri black mamba nyie huyu nyoka hapana aisehh ogopa anaweza nasi chini ya gari likiwa kwenye mwendo ah,
 
Kawaida nyoka wa kawaida hagongi zaidi ya Mara moja kwasababu akigongo meno hubakia je huyu kapata wapi uwezo wa kugonga mara nne?
Koboko au Black mamba, huwa hang'oki meno Kama nyoka wengine. Yeye huuma kwa kuchoma na kuchomoa kama sindano. Na ana uwezo wa kuuma hata Mara 14, na sumu yake iko kama mafuta ya taa, inasambaa haraka Sana.
Ukiona kitu hiyo, kimbia mapema usjaribu kukabiliana nayo.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Kweli haya ni maarifa
 
Hivyo viganja vya mikono utamshikaje sasa huyo nyoka?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Mkuu tumefungwa na fasihi ila bado narudia na kubaki na msimamo wa kuendelea kumtafsiri black mamba nyie huyu nyoka hapana aisehh ogopa anaweza nasi chini ya gari likiwa kwenye mwendo ah,
Tusubiri tafsiri ya fasihi hii.muda haudanganyi.
 
😁😁😁😁😁
 
Kawaida nyoka wa kawaida hagongi zaidi ya Mara moja kwasababu akigongo meno hubakia je huyu kapata wapi uwezo wa kugonga mara nne?
Sio wote wanaon'goka meno,jamii ya koboko kwenye meno kuna matobo ambayo hupitisha sumu,nyoka wa aina hii wanaweza gonga hata watu 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…