Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

Koboko alipewa uji wa lishe.Hii ni zaidi ya joke.Il pia kwamba huyo mganga alizinduka na kukimbia baada ya kuangushwa na koboko hiyo ndiyo habari mhimu ya kufuatilia,aligongwa kweli au alitishiwa tu kwa hofu akaanguka chini.Koboko kweli jamaa anaweza kuendelea kuwa hai?
Huyo hakugongwa alikwaruzwa na matawi ya mwembe.....wakati anajiokoa
 
View attachment 2060977

ukikutana na hii kitu jaribu mbio labda ndio zinaweza kukuokoa tofauti na hapo ukianza kutafuta mawe au fimbo ni labda mfe wote au ufe wewe.
Na haipo chance kwa yote hayo mkuu.

Ukikimbia kumbuka huyu ndo nyoka mwenye speed kuliko wote na ukiinama uokote jiwe unakuta anakumenya utosini huyu wanavyoshauri wanaowajua ukikutana naye jitahidi uende na mood aliyo nayo(ila sijui kama inawezekana),kama akiamua kukaa pembeni bila shari elewa akija kukutisha kama anaku-attack jifanye kama haupo ila ishara yoyote utakayoonyesha kwamba upo against nae hata ukikimbia tu jua ameondoka na uhai wako.

NB:uki-survive shambulio lake hautarudi kama mwanzo lazima utapata utindio wa ubongo,98% wanaong'atwa na huyu mdudu huishia kufa 2% tu ndo huokoka japo wakiwa siyo wa kutegemewa tena kwa kubaki walemavu wa kudumu.
 
Huwa watu wanashindwa kuelewa
Huyu ana wababe wake pia ila mbabe mmoja ambae nampenda ni ndege mmoja anaeitwa Secretary bird

Huyu ni moto wa kuotea mbali kwanza anajua karate na hajafunzwa na Bruce lee wala Jackie Chan bali anauwa nyoka kwa teke moja tu

Huwa ananifurahisha sana huyu ndege
Inabidi wafuge hawa ndege mkoa wa tabora maana Koboko wamejaa sana huko mpaka Urambo, Kaliuwa

IMG_3708.jpg

IMG_3707.jpg

IMG_3706.jpg
 
Huyo Koboko anaitwa "Shetani"---- ni nyoka mwenye kasi kubwa kuliko nyoka wote na sumu yake ni ile yenye mchanganyiko wa sumu mbili, huyo huwa na hasira kali hasa akiwa analinda kiota cha mayai yake, kisipite kiumbe chochote karibu ya hapo, atalala nacho mbeRE🤣.
Great !!! Hapo anakiota cha mayai atawapasuwa mbaya wamuache ashughulike na biolojia yake...
 
Nimecheka kwa sauti, nimepata picha anavotoka nduki.

Yaani kazimia tu hajapata madhara ya sumu?

Bora walivoamua kuwaita wataalamu wa kisayansi....sasa wao wakaleta mganga ambaye akaamua kumuunguza kwa uji.....ha ha ha ha....nyoka hasira yake ikaishia kwake.
Uji haukuwa wa moto huo ungekuwa wa Moto alivyoingiza kichwa na macho yangepofuka
 
Na haipo chance kwa yote hayo mkuu.

Ukikimbia kumbuka huyu ndo nyoka mwenye speed kuliko wote na ukiinama uokote jiwe unakuta anakumenya utosini huyu wanavyoshauri wanaowajua ukikutana naye jitahidi uende na mood aliyo nayo(ila sijui kama inawezekana),kama akiamua kukaa pembeni bila shari elewa akija kukutisha kama anaku-attack jifanye kama haupo ila ishara yoyote utakayoonyesha kwamba upo against nae jua ameondoka na uhai wako.

NB:uki-survive shambulio lake hautarudi kama mwanzo lazima utapata utindio wa ubongo,98% wanaong'atwa na huyu mdudu huishia kufa 2% tu ndo huokoka japo wakiwa siyo wa kutegemewa tena kwa kubaki walemavu wa kudumu.
Hivi watu hamuelewi? Mbona Wa TZ mnakuwa majinga na mbumbumbu kiasi hiki? Hilo ni fumbo, na si stori kama mnavyodhani. That's a code, wachache mno wameelewa. Rudia kusoma kwa makini.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Asante Mhifadhi
 
Huyo Koboko anaitwa "Shetani"---- ni nyoka mwenye kasi kubwa kuliko nyoka wote na sumu yake ni ile yenye mchanganyiko wa sumu mbili, huyo huwa na hasira kali hasa akiwa analinda kiota cha mayai yake, kisipite kiumbe chochote karibu ya hapo, atalala nacho mbeRE[emoji1787].
Hivi watu hamuelewi? Mbona Wa TZ mnakuwa majinga na mbumbumbu kiasi hiki? Hilo ni fumbo, na si stori kama mnavyodhani. That's a code, wachache mno wameelewa. Rudia kusoma kwa makini.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sio kila wakati nyoka hubakiza fangs au meno kwenye mwili bali meno hubaki kama tu yalikuwa yamechoka au ugumu wa ngozi ya mnyama
Ila huwa yanaota tena na tena

Kuhusu black mamba huyu ni shetani na ana hasira za kipumbavu sana

Ana uwezo wa kugonga hata watu kumi kama wamelala mahali pamoja

Huyu katika nyoka wote namuheshimu sana
Hivi watu hamuelewi? Mbona Wa TZ mnakuwa majinga na mbumbumbu kiasi hiki? Hilo ni fumbo, na si stori kama mnavyodhani. That's a code, wachache mno wameelewa. Rudia kusoma kwa makini.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Huwa watu wanashindwa kuelewa
Huyu ana wababe wake pia ila mbabe mmoja ambae nampenda ni ndege mmoja anaeitwa Secretary bird

Huyu ni moto wa kuotea mbali kwanza anajua karate na hajafunzwa na Bruce lee wala Jackie Chan bali anauwa nyoka kwa teke moja tu

Huwa ananifurahisha sana huyu ndege
Inabidi wafuge hawa ndege mkoa wa tabora maana Koboko wamejaa sana huko mpaka Urambo, Kaliuwa

View attachment 2060986
View attachment 2060987
View attachment 2060988
kwa huko polini ana wababe ila sio against human.

kuna vidudu vipo kama nguchiro hivi hata vigongwe na huyu nyoka ingawa vinajua kukwepa lkn havifi.
 
Hivi watu hamuelewi? Mbona Wa TZ mnakuwa majinga na mbumbumbu kiasi hiki? Hilo ni fumbo, na si stori kama mnavyodhani. That's a code, wachache mno wameelewa. Rudia kusoma kwa makini.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mkuu hope hukutegemea kuni-quote mimi na wala siyo ktk uzi huu,tafadhali sana unaweza kufafanua kidogo hilo ni fumbo gani?
 
Hilo eneo kasha tawala nahilo koboko ni jike walipe utulivu limalize kutaga vingenevyo waandae rambi rambi......
Hivi watu hamuelewi? Mbona Wa TZ mnakuwa majinga na mbumbumbu kiasi hiki? Hilo ni fumbo, na si stori kama mnavyodhani. That's a code, wachache mno wameelewa. Rudia kusoma kwa makini.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2060887
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo.

Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo.

Mganga huyo Hassan Jumanne anasema alipanda juu ya mti wa muembe yalipo makazi ya nyoka huyo akiwa na chungu chenye uji wa moto ambao nyoka huyo alitoka na kuingiza kichwa kwenye uji kabla ya kumshambulia kwa kumgonga mara nne.

Mganga alizimia na kuanguka na alipopata fahamu alikimbia akiacha vifaa vyake vya uganga katika eneo hilo.

Uongozi wa kata hiyo umeanza jitihada za kuwasiliana na maliasili ili kumuondoa nyoka huyo.

Chanzo cha habari: CG FM Radio
Duuuuh mpige picha nyoka huyo
 
Back
Top Bottom